Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
SILAYO….Utangulizi:
Kwa Minajiri ya Usiri/ confidentiality sitamtaja moja kwa moja mzee huyu aliyeishi Mkoa mmoja wa Kaskazini.
Alifariki akiwa na miaka 104
Alikuwa na wake watano, waazuri wenye shape
Alikuwa na Watoto 70, kila mke alizaa si chini ya watoto 10, minimum 12.
WAjukuu takriban 300.
Aliishi hapa hapa Tanzanzia, miaka 10 iliyopita.
Mafanikio ya mzee Sirayo
1. Mfugaji wa ng'ombe zaidi ya 50
2. Aliunganisha watoto wake wote mpaka leo wanaelewana na ni ndugu wa kufa na kupona. Hawajaachana
3. Alihama kutoka mjini akaenda pembezoni mwa mji akajikisanyia Ardhinya kutosha.
4.Huko alijenga ng'ome yake na wake zake wanne. Mmoja alimwacha mjini.
5. Kila jmosi ya kila wiki mzee alikuwa anafanya matambiko, alichinja nyama na wajukuu wake woote lazima wakusanyike kula nyama hiyo kwa pamoja.
6. Alisomesha watoto wake, kuna madaktari, Walimu, Madiwani na maafisa mbali mbali.
7. Kwa mzee Sirayo hakujawahi kuwa na njaa, chakula cha kila aina kilikuwepo.
8. Nyumbani kwake na mashamba yake alikuwa na mapera, mapapai, machungwa, miwa, mapasion, Nkeri, n.k.
9. Mzee Hakuwa Fala wake zake woote walikuwa wanaelewana na watoto wao pia hadi leo.
10. Mzee Sirayo alifariki na kuwaacha wake zake wote hadi leo.
Acha upotoshaji mkuu, ni maisha ya sasa ndio haya support. Wewe una uchumi wakulisha watoto 70? ArdhI na makazi ya kuwaweka unaweza? ,, bytheway hata ingekuwa kila mtu anaweza bado isingewezekana kila mtu kuwa na wanawake wanne hata wawili tu kutokana na idadi ndogo ya wanawake kwa uwiano huoElimu na dini za mzungu zimekuja kutufanya wanaume wa kileo tusiweze mambo ya mzee silayo
Acha uoga watoto 70 tu hapa Tanzania ni wengi kweli kwa standard of living hi, wengi nyie ni one man down.Acha upotoshaji mkuu, ni maisha ya sasa ndio haya support. Wewe una uchumi wakulisha watoto 70? ArdhI na makazi ya kuwaweka unaweza? ,, bytheway hata ingekuwa kila mtu anaweza bado isingewezekana kila mtu kuwa na wanawake wanne hata wawili tu kutokana na idadi ndogo ya wanawake kwa uwiano huo
Hauna akiliAcha uoga watoto 70 tu hapa Tanzania ni wengi kweli kwa standard of living hi, wengi nyie ni one man down.
1. Shule bure
2. Matibabu bure
3 chakula nafaka
4. Nguo mitumba
Hata wale wenye wastoto wawili au moja maisha yao ni hay hayo.
Naona imekuingia mkuu, huo ndo ukweli standard yetu ya maisha iko very low tunaishi tu kwa kudra Za Mungu neenda shule Za umma zomejazana watoto wa watu,......manaake hata ukiwa na watoto 70 watasoma hapo hapo nawale wenye mtoto moja au wawili, sidhani kama logic yangu umeipata.Hauna akili
Ni kweli kabisa, tumepigwaElimu na dini za mzungu zimekuja kutufanya wanaume wa kileo tusiweze mambo ya mzee silayo
Ayaaah ikawaje tena mpaka kuuanaWalikuwa wanapendana sana kipindi akiwa hai pia alikuwa na ardhi kubwa mno ila alipo ng'ata shuka huwezi amini imebaki story tu wengine hadi wameuana.
Alikuwa mchawi huyu😀😀Kuhusu matambiko yeye alikuwa anaoga uchi kwenye zizi la ng'ombe mchana kweupe yeye na wajukuu zake wa kiume pamoja na watoto wake.
wake zake hivyohivyo.
UongoUtangulizi:
Kwa Minajili ya Usiri/ confidentiality sitamtaja moja kwa moja mzee huyu aliyeishi Mkoa mmoja wa Kaskazini.
Alifariki akiwa na miaka 104
Alikuwa na wake watano, waazuri wenye shape
Alikuwa na Watoto 70, kila mke alizaa si chini ya watoto 10, minimum 12.
WAjukuu takriban 300.
Aliishi hapa hapa Tanzanzia, miaka 10 iliyopita.
Mafanikio ya mzee Silayo
1. Mfugaji wa ng'ombe zaidi ya 50
2. Aliunganisha watoto wake wote mpaka leo wanaelewana na ni ndugu wa kufa na kupona. Hawajaachana
3. Alihama kutoka mjini akaenda pembezoni mwa mji akajikisanyia Ardhinya kutosha.
4.Huko alijenga ng'ome yake na wake zake wanne. Mmoja alimwacha mjini.
5. Kila jmosi ya kila wiki mzee alikuwa anafanya matambiko, alichinja nyama na wajukuu wake woote lazima wakusanyike kula nyama hiyo kwa pamoja.
6. Alisomesha watoto wake, kuna madaktari, Walimu, Madiwani na maafisa mbali mbali.
7. Kwa mzee Sirayo hakujawahi kuwa na njaa, chakula cha kila aina kilikuwepo.
8. Nyumbani kwake na mashamba yake alikuwa na mapera, mapapai, machungwa, miwa, mapasion, Nkeri, n.k.
9. Mzee Hakuwa Fala wake zake woote walikuwa wanaelewana na watoto wao pia hadi leo.
10. Mzee Silayo alifariki na kuwaacha wake zake wote hadi leo.
Kiufupi Maisha ya Watz au Wafrika wengi ukiachana na watoto wa mawaziri, mabalozi, wakuu wa mikoa na MaDas aisee tunalingana kila kitu.Acha uoga watoto 70 tu hapa Tanzania ni wengi kweli kwa standard of living hi, wengi nyie ni one man down.
1. Shule bure
2. Matibabu bure
3 chakula nafaka
4. Nguo mitumba
Hata wale wenye wastoto wawili au moja maisha yao ni hay hayo.
Uongo ni upi hapo?Uongo
Ofcourse haimanishi kila mtu ataoa wake wawili au watatu. Wengine sio mapenzi yao.Acha upotoshaji mkuu, ni maisha ya sasa ndio haya support. Wewe una uchumi wakulisha watoto 70? ArdhI na makazi ya kuwaweka unaweza? ,, bytheway hata ingekuwa kila mtu anaweza bado isingewezekana kila mtu kuwa na wanawake wanne hata wawili tu kutokana na idadi ndogo ya wanawake kwa uwiano huo