Nimejifunza mambo mazito yanayoonekana ni madogo machoni pa watu

Kwa sifa zote ulizotaja kama kweli anafahamika nani hatamjua? Usiri uko wapi?
Hata hivyo hakuna Ubaya wowote akijulikana. Tuna muenzi kwa mazuri na mfano bora alivyoishi
 
Alikuwa mchawi huyu😀😀
Sahihi. Hata huyo uliyesimulia hapa ni mchawi vilevile huwezi control watu 100+ wakawa wamoja kabisa kuna vitu alikuwa anawalisha.

Hata kuwahimili wanawake 2 tu bila kushika pale na huko huwezi kuwaweka pamoja.

Ukibisha ulizaa wazee
 
Mzee hakupanga mambo yake mapema. Watoto lazima wajuwe mwelekeo wa mali za familia ukoje kabla hujafa
Yeah wosia ni muhimu sana. kuna babu yetu mdogo ana miaka almost makadilio 97 hivi yeye kashawagawia urithi baba zetu tiyari miaka 9 iliyopita lakini baba zetu walio nyang'anywa yale mashamba waliyokuwa wanalima washakunja sura tiyari na babu yetu ana mke mmoja tu ila kipindi cha ujana wake aliwahi kuoa wake 2mkubwa akaondoka akabaki huyu bibi wanaye mpaka leo
 
Naona ma suala ya kuuana hata ukiwa na wawili kwa mama moja wata utauana tu wakiamua na unaweza ukawa na 10 mama tofauti wakasaaidiana sanaa, hayo ni ma suala ya familia binafasi
 
Kiufupi Maisha ya Watz au Wafrika wengi ukiachana na watoto wa mawaziri, mabalozi, wakuu wa mikoa na MaDas aisee tunalingana kila kitu.
Umenielewa vizuri mkuu ni kama 1% ndo upper class tena wenyewe ni kwa mda tumesoma na watoto wa wakuu wa mikoa wataafu kwenye shule za kataa kwahiyo idadi ya watoto tanzania hailishi maisha unao ishi.
 
bro, kama unatumia vileo au bangi, acha mara haraka saana.. Na kama hutumii vileo au bangi, basi anza kutumia haraka sana. Maana hiyo akili inakaribia kuzima. Nadhani itakuwa busara sana kui-jump-start.
 
hua najiuliza watu mnapata wapi ujasiri wa kuandika pumba hivo, ingawa unafaham tutazione watu wengi??

Huna hata rafiki, ndugu, jamaa, au hata jirani tu mjinga mjinga uwe unamtext hayo mawazo yako.???.. Sawa maisha magumu sana na watu wanadata kwa mawazo, lakini this is too much aiseeeeeeee
 
Naona ma suala ya kuuana hata ukiwa na wawili kwa mama moja wata utauana tu wakiamua na unaweza ukawa na 10 mama tofauti wakasaaidiana sanaa, hayo ni ma suala ya familia binafasi
Malezi ni muhimu sana. Tangu wakiwa wadogo
 
Mkuu kinachokutia hasira kwenye uzi wangu ni kitu gani?
 
Mkuu which is too much?
 
bro, kama unatumia vileo au bangi, acha mara haraka saana.. Na kama hutumii vileo au bangi, basi anza kutumia haraka sana. Maana hiyo akili inakaribia kuzima. Nadhani itakuwa busara sana kui-jump-start.
Maisha yametufikisha huku? Maandiko tu ya JFs yanakutisha hivi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…