Mkuu malezi gani special wenye watoto wawili wanao yapata hapa watanzania, mbona ni yale yale baba boda boda mama anafanya kazi ya mama tilie wana kutana ucku hapo hao watoto wawili malezi gani special wanao pata kuliko yule wa watoto 10.?Malezi ni muhimu sana. Tangu wakiwa wadogo
Hakuna Tofauti kabisaMkuu malezi gani special wenye watoto wawili wanao yapata hapa watanzania, mbona ni yale yale baba boda boda mama anafanya kazi ya mama tilie wana kutana ucku hapo hao watoto wawili malezi gani special wanao pata kuliko yule wa watoto 10.?
Ndo maana nasema idadi ya watoto hapa Tanzania haina impact yoyote katika future au maisha ya kila siku, kwa sabb standarnd of living iko low sana kwa 99% ya raia watoto wao wanakunywa uji wa lisahe au wa dona ni 1% wanao weza maziwa maalumu ya vichangaa kama luctrogen au Nido......mimamo wangu ni "Number of kids is not a determinant factor for the life style of a parents in Tanzania"Hakuna Tofauti kabisa
Mzee silayo wa pale Useri, Rombo. Alikuwa mzee mmoja peace sana. Alale kwa amaniUtangulizi:
Kwa Minajili ya Usiri/ confidentiality sitamtaja moja kwa moja mzee huyu aliyeishi Mkoa mmoja wa Kaskazini.
Alifariki akiwa na miaka 104
Alikuwa na wake watano, waazuri wenye shape
Alikuwa na Watoto 70, kila mke alizaa si chini ya watoto 10, minimum 12.
WAjukuu takriban 300.
Aliishi hapa hapa Tanzanzia, miaka 10 iliyopita.
Mafanikio ya mzee Silayo
1. Mfugaji wa ng'ombe zaidi ya 50
2. Aliunganisha watoto wake wote mpaka leo wanaelewana na ni ndugu wa kufa na kupona. Hawajaachana
3. Alihama kutoka mjini akaenda pembezoni mwa mji akajikisanyia Ardhinya kutosha.
4.Huko alijenga ng'ome yake na wake zake wanne. Mmoja alimwacha mjini.
5. Kila jmosi ya kila wiki mzee alikuwa anafanya matambiko, alichinja nyama na wajukuu wake woote lazima wakusanyike kula nyama hiyo kwa pamoja.
6. Alisomesha watoto wake, kuna madaktari, Walimu, Madiwani na maafisa mbali mbali.
7. Kwa mzee Sirayo hakujawahi kuwa na njaa, chakula cha kila aina kilikuwepo.
8. Nyumbani kwake na mashamba yake alikuwa na mapera, mapapai, machungwa, miwa, mapasion, Nkeri, n.k.
9. Mzee Hakuwa Fala wake zake woote walikuwa wanaelewana na watoto wao pia hadi leo.
10. Mzee Silayo alifariki na kuwaacha wake zake wote hadi leo.
Ndo maana nasema idadi ya watoto hapa Tanzania haina impact yoyote katika future au maisha ya kila siku, kwa sabb standarnd of living iko low sana kwa 99% ya raia watoto wao wanakunywa uji wa lisahe au wa dona ni 1% wanao weza maziwa maalumu ya vichangaa kama luctrogen au Nido......mimamo wangu ni "Number of kids is not a determinant factor for the life style of a parents in Tanzania"
Ingawa tunakoenda au tulipo sasa idadi kubwa ya watoto wako kwenye hatari ya kukosa mahitaji muhimuNdo maana nasema idadi ya watoto hapa Tanzania haina impact yoyote katika future au maisha ya kila siku, kwa sabb standarnd of living iko low sana kwa 99% ya raia watoto wao wanakunywa uji wa lisahe au wa dona ni 1% wanao weza maziwa maalumu ya vichangaa kama luctrogen au Nido......mimamo wangu ni "Number of kids is not a determinant factor for the life style of a parents in Tanzania"
Umesoma paka ukamaliza mwisho hujaona pointi? Umeishia darasa la ngapi? Ili nisije kukulauma bureMkuu,
Point yako hapo ni nini?
Idadi ya watoto ulio zaa haina uhusiano na aina ya maisha ya mzazi wakitanzania......Sentensi ya mwisho unamaanisha nini, bwashe?
la 3 aUmesoma paka ukamaliza mwisho hujaona pointi? Umeishia darasa la ngapi? Ili nisije kukulauma bure
Basi sawa๐๐la 3 a
Aataka kutuchanganyaIGA UFE.
Vijana wa siku hizi Goi goiAataka kutuchanganya
hahahaha nimecheka kwa sautiMkuu kinachokutia hasira kwenye uzi wangu ni kitu gani?
sasa hapa jF anaandika ongo huo japo hakuna anacho kipata.. Usiombe ndo awe amekuita bar anakupigisha vitu kwa mfuko wake... unaweza ukaumwa kichwaMaisha yametufikisha huku? Maandiko tu ya JFs yanakutisha hivi?
๐๐hahahaha nimecheka kwa sauti