Nimejifunza pakubwa kuhusu elimu ya fedha baada ya jamaa yangu kuchukua mkopo wa Milioni 10 kazini kwake ili anunue gari

P
Status ama hadhi Iko juu Sasa hivi Mana gari na anakula mbususu effortlessly.
Kuna mambo tunafanya na sie tupate heshima kwa jamii yetu tuishio, Kila mtu ana hitaji lake moyoni mwak
Mbususu ni nn? Uko na hasira na gari mbususu for? Kuna wengine mbususu ni kitu haiwapotezei mda kabisa ni vya kawaida status mtaani itakuja tu auto mwenye hela anajulikana IST status 😂
 
Maisha ya sasa usipokuwa na financial literacy (elimu ya pesa) unaweza kujikuta umeingia kwenye utumwa wa matumizi makubwa, ambayo baadaye yanakupeleka kwenye uraibu wa mikopo usioisha.

Mambo haya huwa yanawakumba sana watumishi wa serikali, hasa walimu. Watumishi wa sasa wengi wanatamani kuishi maisha ya ndoto zao, kama kumiliki nyumba nzuri, kuwa na magari, kuwa na miradi ya kuongeza kipato kama mashamba na fremu za biashara.

Kutokana na kuwa na mishahara ya wastani huku wengi wao wakiwa na extended family, hushindwa kujizuia na msukumo wao wa ndani wa kutaka kulazimisha mambo bila kujali wataathirika vipi.

Mfano, kuna jamaa yangu mmoja ambaye ni mtumishi wa serikali (mwalimu) alitaka kununua Toyota IST kwa bei ya Shilingi milioni 14. Alikuwa na Shilingi milioni 6 na alihitaji kukopa benki kiasi cha Shilingi milioni 10 ili aweze kukamilisha manunuzi yake.

Kwa sasa, karibu kila benki inatoza riba ya asilimia 16. Jamaa alishawishiwa achague muda mrefu wa malipo ili alipe kidogo kidogo, akaingia mkenge.

Kitu ambacho hakujua ni hiki: (72 ÷ riba), yaani (72 ÷ 16) = 4.5. Mkopo wowote kwa riba hiyo ukifika miaka 4.5 na kuendelea, utalipa mara mbili ya kiasi ulichokopa. Hivyo, kama alichukua milioni 10, atalipa milioni 20.

Sasa mwenzangu alichukua mkopo wa miaka 6 ili awe analipa Shilingi 300,000 kila mwezi. Aliposanuliwa kwamba atalipa mara mbili ya alichokopa, alichoka sana maana ilikuwa too late.

Hivi ninavyoandika haya, hana hamu ya kuendesha gari hilo, kwani anategemea mshahara pekee na gari halimuingizii pesa, bali linahitaji gharama za mafuta na matengenezo mbalimbali.

Watumishi mkumbuke kuwa serikali imewaajiri wenyewe, haijaajiri matumizi yenu.

Kwa haraka, pato lako kwa siku ni Shilingi 20,000. Hivyo, chunga matumizi yako, usijitumbukize kwenye mzigo wa madeni bila mpango.
Tamaa ya kutaka kuonekana kwa kumiliki gari. Mpe pole
 
Huyo alikarili akiwa na chuma atapiga sana totoz kwaiyo akaamua kufosi King 👑
 
Mkopo chukua kwa ajili ya kupanua biashara ambayo ndio itaulipa huo mkopo au kujenge kiwanda au business complex sio nyumba ya kuishi (Nyumba ya kuishi chukua mkopo tu wa kumalizia uhamie uachane na faza Hauz sio kuanza msingi) au gari la kutembelea.
 
🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝
 
Tutamlaumu bure ila ukweli ni kwamba wengi hawana maarifa ya kifedha. Hiyo yote inatokana na misingi tuliyojengewa sio ya kutafuta elimu ni kuikimbia elimu.

Sehemu ninayotafutia kipato kuna mtu niliwahi kumtamkia issues za UTT nilipigwa butwaa aliponiambia hao UTT wana tofauti na gani na Kalyinda au LBL. Nkamuuliza LBL ni nini na UTT ni nini akajibu mi najua hizo zote watu wanaweka pesa tu.

Sasa imagine huyo ni degree holder ameshindwa kutafuta maarifa ameamua kurahisisha mambo kwa style hiyo. Niliamua kumuacha abaki kama alivyo.
 
Tofautisha mkopo wa kujenga kiwanda na kununua IST. Ni mbingu na ardhi Mkopo wa kujenga kiwanda utajilipa wenyewe kiwanda kikianza kazi ila IST ya Mkopo kwa ajili ya kutembelea ni kujichimbia kaburi refuu la madeni.
People are programmed to take pride on consuming but not on investing.
Ogopa watu wenye akili wanakufanya ufanye mambo kwa utashi wao.
Mtu yaani anaona ufahari kwenye kutumia Tena liability kuliko kwenye kuwekeza assets ambazo zitampatia pesa mbeleni hata akiwa amelala.
Just ask why we never taught how to make money,or how to make money work for us instead of working for it,
How to be successful isn't taught at public, how to learn any high paying skills free hakuna. Watu wanataka ada zako later uwe mtumwa milele
.
Mie Sina hasira Bali ni mfumo ambao ume blind watu na ni watu wachache mno wameweza kuujua huu mfumo. Sidhani Kama mmiliki wa roll Royce anaitembelea iyo gari
 
Kila mtu ashinde mechi zake! Kama serikali inakopa kila siku na kuitumia hiyo mikopo kwenye mambo mengi ya anasa!! Watumishi kitu gani bhana!!

Na sisi pia tunapenda kuishi maisha ya ndoto zetu. Mfano kumiliki nyumba kali, gari kali hata kama ni used! Wife material nyumbani anapika mazagazaga, kusomesha watoto wetu St. Francis, nk. Halafu mshahara mbuzi! Lazima tukope ili maisha nayo yaende.
 
Maisha ya sasa usipokuwa na financial literacy (elimu ya pesa) unaweza kujikuta umeingia kwenye utumwa wa matumizi makubwa, ambayo baadaye yanakupeleka kwenye uraibu wa mikopo usioisha.

Mambo haya huwa yanawakumba sana watumishi wa serikali, hasa walimu. Watumishi wa sasa wengi wanatamani kuishi maisha ya ndoto zao, kama kumiliki nyumba nzuri, kuwa na magari, kuwa na miradi ya kuongeza kipato kama mashamba na fremu za biashara.

Kutokana na kuwa na mishahara ya wastani huku wengi wao wakiwa na extended family, hushindwa kujizuia na msukumo wao wa ndani wa kutaka kulazimisha mambo bila kujali wataathirika vipi.

Mfano, kuna jamaa yangu mmoja ambaye ni mtumishi wa serikali (mwalimu) alitaka kununua Toyota IST kwa bei ya Shilingi milioni 14. Alikuwa na Shilingi milioni 6 na alihitaji kukopa benki kiasi cha Shilingi milioni 10 ili aweze kukamilisha manunuzi yake.

Kwa sasa, karibu kila benki inatoza riba ya asilimia 16. Jamaa alishawishiwa achague muda mrefu wa malipo ili alipe kidogo kidogo, akaingia mkenge.

Kitu ambacho hakujua ni hiki: (72 ÷ riba), yaani (72 ÷ 16) = 4.5. Mkopo wowote kwa riba hiyo ukifika miaka 4.5 na kuendelea, utalipa mara mbili ya kiasi ulichokopa. Hivyo, kama alichukua milioni 10, atalipa milioni 20.

Sasa mwenzangu alichukua mkopo wa miaka 6 ili awe analipa Shilingi 300,000 kila mwezi. Aliposanuliwa kwamba atalipa mara mbili ya alichokopa, alichoka sana maana ilikuwa too late.

Hivi ninavyoandika haya, hana hamu ya kuendesha gari hilo, kwani anategemea mshahara pekee na gari halimuingizii pesa, bali linahitaji gharama za mafuta na matengenezo mbalimbali.

Watumishi mkumbuke kuwa serikali imewaajiri wenyewe, haijaajiri matumizi yenu.

Kwa haraka, pato lako kwa siku ni Shilingi 20,000. Hivyo, chunga matumizi yako, usijitumbukize kwenye mzigo wa madeni bila mpango.
Asante kwa ushauri,mimi pia ilikuwa nimepanga kukopa,na nimeshaambiwa nitalipa mara 2 yake.Umenishtua.
 
Back
Top Bottom