Nimejifunza pakubwa kuhusu elimu ya fedha baada ya jamaa yangu kuchukua mkopo wa Milioni 10 kazini kwake ili anunue gari

Point yangu ilikua mtu wa degree anashindwa kutafuta maarifa anaanza kuongea vitu vya ajabu bila taarifa sahihi.
 
Mwambie asirudi nyuma, kuwa na gari siku izi ni symbol of status, iyo inampa confidence ya mafanikio zaidi. Emu piga picha umeenda kwenye kikao Cha familia na gari uku na funguo unairusharusha inapendeza sana.
 
kununua gari ni kama mtu anaponunua kiatu, kisha umwambie mtu huyo kuwa kiatu ni liability, kwa sababu kitahitaji kushonwa kikitatuka, ama kitahitaji kupakwa kiwi.

Haijalishi hiyo pesa ya kununulia kiatu umeikopa ama laa! sasa unataka utembee peku kwa sababu ya kuogopa kudaiwa?????
 
Mkuu,
Nimeuliza hapa na niliyemuuliza hajanipa majibu. Hivi mtu amefanya kazi 7yrs bila mkopo, anejiendeleza vipi, labda anaiba mahali.
 
Mwambie asirudi nyuma, kuwa na gari siku izi ni symbol of status, iyo inampa confidence ya mafanikio zaidi. Emu piga picha umeenda kwenye kikao Cha familia na gari uku na funguo unairusharusha inapendeza sana.
Na IST 😂 kweli hio family,,,kuna family wanakwambia magari yasiyoidhinishwa yasiletwe kupunguza jam ndo hzo kwanza ualimu tu niumasikini 😂 umtishe nani IST
 
Wapigwe Tu Tumechoka
By Mizengo Kayanda Peter Pinda
 
Hesabu zako sio sahihi kama umekopa 10m kwa riba ya 16% kwa miaka 6 marejesho hayafikii laki 3! Check your calculations!
 
Kama we unayo hiyo elimu fedha iweke hapa tujifunze.
 
Tupambane tui lfurahie maisha duniani hata kwa madeni , Tusiache wakina Chief Godlove wafurahie maisha wao tu , tukope wazee tuendelee kufurahia maisha
 
tofautisha mkopo wa biashara na mkopo wa matumizi

Ni bora ukasave au ukawa na vyanzo vya kuilipa hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…