johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Kule wanatumia akili kutatua tatizo sie tunatumia nguvu kutatua tatizoIle ya U.S. haipo kibavicha bavicha ile sio ishu ya kisiasa ni ishu ya kijamii
Ile ya U.S. haipo kibavicha bavicha ile sio ishu ya kisiasa ni ishu ya kijamii
Nguvu ya umma ipo kwenye makundi tofauti; inaweza kuwa kisiasa (uprising north Africa), kijamii (race), hata kiuchumi (ukosefu wa ajira n.k)Ile ya U.S. haipo kibavicha bavicha ile sio ishu ya kisiasa ni ishu ya kijamii
Tena huwezi kuta USA wanaandamana kisiasa, wenyewe huandamana kwenye kudai haki za kijamii km ushoga nk
Kiukweli nguvu ya Umma siyo mchezo na sina uhakika kama hii ndio Peoples power iliyokuwa inahubiriwa na Chadema.
Nimeshuhudia:
Mosi polisi wanaipigia goti nguvu ya Umma kuomba suluhu
Pili, Wahudumu wa afya wanaipigia goti nguvu ya Umma kukubaliana nayo.
Tatu, Wanasiasa wanaipigia goti nguvu ya Umma kuomba poo
Nne, Papa wa Katoliki anamuomba Mungu baba aingilie kati nguvu ya Umma isilete madhara zaidi.
Pamoja na kwamba kule ni America lakini nimejifunza kitu.
Mungu awabariki
Maendeleo hayana vyama!
Wakuu wa taasisi mbili kubwa za nchi wamemshindwa, bunge na serikali, wamerusha rusha miguu sasa wametulia, sijui nani mwingine atamuweza!.Muda ni mwalimu yatamkuta Mbowe Mugabe baada ya October, 2020!
Kifo, ili haki itendeke kwenye familia ya Aquilina!Wakuu wa taasisi mbili kubwa za nchi wamemshindwa, bunge na serikali, wamerusha rusha miguu sasa wametulia, sijui nani mwingine atamuweza!.
Nguvu ya Chadema iliondoka ukuta ulipobomolewa kabla haujasimama. Kuahirishwa kwa Manadamano ya Ukuta imesababisha CCM kuichukulia Chadema Kama ma Shakira.Kiukweli nguvu ya Umma siyo mchezo na sina uhakika kama hii ndio Peoples power iliyokuwa inahubiriwa na Chadema.
Nimeshuhudia:
Mosi polisi wanaipigia goti nguvu ya Umma kuomba suluhu
Pili, Wahudumu wa afya wanaipigia goti nguvu ya Umma kukubaliana nayo.
Tatu, Wanasiasa wanaipigia goti nguvu ya Umma kuomba poo
Nne, Papa wa Katoliki anamuomba Mungu baba aingilie kati nguvu ya Umma isilete madhara zaidi.
Pamoja na kwamba kule ni America lakini nimejifunza kitu.
Mungu awabariki
Maendeleo hayana vyama!
Nyanda we ni shoga mbona unasema wanaandamana kudai haki za kijamii kama ushoga hivyo unataka watu waandamane kudai ushoga uhalalishwe Tanzania na we utakuwa kiongozi wao?Tena huwezi kuta USA wanaandamana kisiasa, wenyewe huandamana kwenye kudai haki za kijamii km ushoga nk
Chadema hii hii ya akina Lijualikali na Massele!Hapa Tanzania CHADEMA ndio nguvu ya umma. Peopleeeees!
Issue ni uungwaji mkono, watu wanashindwa kusoma alama za nyakati, mfano kwa sasa, the majority wako na JPM sa we jidanganye kuandamana afu vyombo vikae pembeni uone uhalisia wa nguvu ya umma, CHADEMA kimebakiza watukanaji mitandaoni na viongozi wa kitaifa tu, wenyewe wanalifahaku hilo na wanatamani hata uchaguzi uahilishwe.Nguvu ya Chadema iliondoka ukuta ulipobomolewa kabla haujasimama. Kuahirishwa kwa Manadamano ya Ukuta imesababisha CCM kuichukulia Chadema Kama ma Shakira.
Maandamano ya Chadema hata kwenye ofisi ya DED hayawezi kufika wanaishia kusababisha vifo vya raia wasio na hatia!Issue ni uungwaji mkono, watu wanashindwa kusoma alama za nyakati, mfano kwa sasa, the majority wako na JPM sa we jidanganye kuandamana afu vyombo vikae pembeni uone uhalisia wa nguvu ya umma, CHADEMA kimebakiza watukanaji mitandaoni na viongozi wa kitaifa tu, wenyewe wanalifahaku hilo na wanatamani hata uchaguzi uahilishwe.
Hakuna marefu yasiyo na ncha.Maandamano ya Chadema hata kwenye ofisi ya DED hayawezi kufika wanaishia kusababisha vifo vya raia wasio na hatia!