Nimejifunza: Umma unapoamua hakuna itikadi ya chama cha siasa inayoweza kuwazuia

Nimejifunza: Umma unapoamua hakuna itikadi ya chama cha siasa inayoweza kuwazuia

Kiukweli nguvu ya Umma siyo mchezo na sina uhakika kama hii ndio Peoples power iliyokuwa inahubiriwa na Chadema.

Nimeshuhudia:

Mosi polisi wanaipigia goti nguvu ya Umma kuomba suluhu

Pili, Wahudumu wa afya wanaipigia goti nguvu ya Umma kukubaliana nayo.

Tatu, Wanasiasa wanaipigia goti nguvu ya Umma kuomba poo

Nne, Papa wa Katoliki anamuomba Mungu baba aingilie kati nguvu ya Umma isilete madhara zaidi.

Pamoja na kwamba kule ni America lakini nimejifunza kitu.

Mungu awabariki

Maendeleo hayana vyama!
Hata saa mbovu kuna wakati inapatia majira. Ila subiri matusi na kejeli toka kwa nduguzo
 
Back
Top Bottom