Nimejifunza wazazi hawaachani

Nimejifunza wazazi hawaachani

Vijana wa siku hizi wanaachwa tu kila siku. Labda mwanamke akutane na mwanaume asiye nazo au anayemtumia na kumuacha.

Kuna baba kateseka na mzazi mwenzake, watoto 3 mama anasema hataki tena mahusiano nae. Siku hizi anamuona mitandaoni tu. Kaolewa na mtu mwingine.
 
Poleni Sana Single mothers. Hizi tuhuma ziko generalized Sana. Wako Single mothers well behaved. Bahati mbaya tu walikutana na wanaume wakatili wakawazalisha wakawaacha. Hivyo tuwaheshimu. Wanawake ni wengi nendeni mkatafute ambao siyo single mothers. Wako stressed na msiwaongezee stress nyingine. Wanaume wote Sisi ni watarajiwa wa dada au ndugu zetu wa kike single mothers maana ndoa za miaka hii ni mtihani Sana.
 
Hii huruma yako juu yao haiwaondolei kua Ni very risk kuwaoa
 
Weka utaratibu mzuri wa mtoto kuonana na Baba yake. Inawezekana kabisa. Hata wewe unaweza ukawa ndiyo wa kumpeleka mtoto kwa baba yake kama ni mdogo. Unamuacha unamfuata baadaye.
Ila hawaachani elewa ilo mwanamke akinembelezwa kidgo na akikumbushwa yaliyo pita anakubali mwenyewe labda umpate mke ambaye yupo seriously sana na ndoa yake
 
Ukisikia kupasha kiporo ndio hiyo. Hata kama waliparangana wakaachana na kupeana talaka ipo siku hasira zao zitaisha wakikutana watapeana mapenzi mazito. We uliooa single mother unatakiwa kufahamu umeoa mke wa mtu, vumilia siku ukiona jamaa anatuma matumizi kwa mtoto wake ujue huyo mama atapokea na akiombwa shoo atatoa bila kinyongo. Hutaweza kumbana asikutane na msela wake wa zamani kwa ajili ya watoto wao. Ukute jamaa anakata mpunga mrefu kuliko wewe utateseka sana, kama vipi vunga huoni na husikii ili uendelee kuishi na huyo single mother
Bitter truth
 
Back
Top Bottom