Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Watu wakitengana hasira na chuki huwa zinaisha.Ukisikia kupasha kiporo ndio hiyo. Hata kama waliparangana wakaachana na kupeana talaka ipo siku hasira zao zitaisha wakikutana watapeana mapenzi mazito. We uliooa single mother unatakiwa kufahamu umeoa mke wa mtu, vumilia siku ukiona jamaa anatuma matumizi kwa mtoto wake ujue huyo mama atapokea na akiombwa shoo atatoa bila kinyongo. Hutaweza kumbana asikutane na msela wake wa zamani kwa ajili ya watoto wao. Ukute jamaa anakata mpunga mrefu kuliko wewe utateseka sana, kama vipi vunga huoni na husikii ili uendelee kuishi na huyo single mother
Ndio maana wakikutana wanapendana tena.
Hata kama waliachana wakiapiana kukatana mapanga after several years kila mtu anaanza kukumbuka mazuri waliyotendeana na kusahau mabaya.
Waliozaa pamoja wameungana kiroho moja kwa moja.
Kijana kama hujaoa usidanganyike.