Nimejifunza wazazi hawaachani

Vijana wa siku hizi wanaachwa tu kila siku. Labda mwanamke akutane na mwanaume asiye nazo au anayemtumia na kumuacha.

Kuna baba kateseka na mzazi mwenzake, watoto 3 mama anasema hataki tena mahusiano nae. Siku hizi anamuona mitandaoni tu. Kaolewa na mtu mwingine.
 
Poleni Sana Single mothers. Hizi tuhuma ziko generalized Sana. Wako Single mothers well behaved. Bahati mbaya tu walikutana na wanaume wakatili wakawazalisha wakawaacha. Hivyo tuwaheshimu. Wanawake ni wengi nendeni mkatafute ambao siyo single mothers. Wako stressed na msiwaongezee stress nyingine. Wanaume wote Sisi ni watarajiwa wa dada au ndugu zetu wa kike single mothers maana ndoa za miaka hii ni mtihani Sana.
 
Hii huruma yako juu yao haiwaondolei kua Ni very risk kuwaoa
 
Single mothers
Jukumu lake ni moja tu kuzalishwa na kuliwa ni watamu sana....
Kwenye trimmings wako Vzr
Wanajituma kitandani sana.
USIJE UKAOA SINGLE MOTHER.
Kuna mmoja hapa kasema hataki kuzaa tena, tumfanyeje...
 
Weka utaratibu mzuri wa mtoto kuonana na Baba yake. Inawezekana kabisa. Hata wewe unaweza ukawa ndiyo wa kumpeleka mtoto kwa baba yake kama ni mdogo. Unamuacha unamfuata baadaye.
Ila hawaachani elewa ilo mwanamke akinembelezwa kidgo na akikumbushwa yaliyo pita anakubali mwenyewe labda umpate mke ambaye yupo seriously sana na ndoa yake
 
Bitter truth
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…