Nimejifunza wazazi hawaachani

Watu wakitengana hasira na chuki huwa zinaisha.

Ndio maana wakikutana wanapendana tena.

Hata kama waliachana wakiapiana kukatana mapanga after several years kila mtu anaanza kukumbuka mazuri waliyotendeana na kusahau mabaya.

Waliozaa pamoja wameungana kiroho moja kwa moja.

Kijana kama hujaoa usidanganyike.
 
πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…