Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Mke wanguunatakiwa upige debe mahali Yako na vipesa vya matumizi ndio vinatoka hapa my baby🤣🤣🤣♥️♥️Kumekuchaaaa!! Watumia Mikorogo mnaitwa huku, saplaya wenu kashusha stock ya maana. 😂😂😂😂
Karibu mteja wangu, mi ni me, kwani we hupakagi mafuta mkuu, au unapaka mafuta ya kula? 🤣🤣 Lotion unayo paka mwilini ndio nami naziuza.Wewe ni jinsia gani?
Karibu boss zipo we nitume Haina shida kabisa, unataka yapi boss wanguVya kiume vipi?
???Kwema wakuu, kwa wale dadaz and mamaz mnaopenda kuglow nipo kwa ajili yenu, na wale kakaz and babaz wasafi, nipo kwa ajili yenu.
Kaka zangu baba zangu tujipende inafikia hatua mkeo au mpenzi wako ana ona aibu kukutambilisha kwa rafiki zake, tubadilikw ndugu zangu tujipende, anaulizwa huyo nani, ana jibu ahhh lijirqni tu naishi nalo mtaani, kumbe mume masikini inasikitisha sana.
Na dada zangu tujipende, unasikia mume anasema Yani hili lichafu.
Karibu mkuu, hunambo
Umemaanisha sijambo, au sinambo?Karibu mkuu, hunambo
Kawaida kaka, labda tu hujajua vitu tunatumia neno vipodozi ku attract wakina dada, lakini lengo ni mafuta ya ngozi, ili kuepusha kua na ngozi kama ya mamba, kwani we hujipaka nini mkuu?Mwanaume unauza vipodozi like seriously?
Karibu Mr nikuhidimie mkuu,
Duh Hali mbaya, sija kuuelewa? Kwani vipako vinashida Gani au tatizo lugha nilio tumia? Mkuu hii ni bizness kama bizness zingineAsee kweli hali ni mbaya sana,anyway mafuta ni muhimu hata Kwa wanaume pia!!!
Nipo kigoma kibondo mpakani huku sabun ya kuongea ni gwanji na mafuta tunapaka babycare petroleum jelly zile za jeroKawaida kaka, labda tu hujajua vitu tunatumia neno vipodozi ku attract wakina dada, lakini lengo ni mafuta ya ngozi, ili kuepusha kua na ngozi kama ya mamba, kwani we hujipaka nini mkuu?
Sorry mkuu nimemanisha hujambo? Ok ngozi zinautofauti mkuu, sijawa mtaalamu sana mana Sina muda kwenye hii KAZI ndio kwanza naanza kukuaminisha utakua je na sija kuona ni ngumu boss wangu, njoo dm tuzungumze may be kama unatania, karibuUmemaanisha sijambo, au sinambo?
Nitapata mkorogo na maji yake.....nataka ndani ya wiki niwe kama papai
Pole sana mkuu, huko nisha fika niliishia kakonko, kwa kweli huko Kuna dongo jekundu, asilia ya huko huwafanya watu kuwa weusi sana,Nipo kigoma kibondo mpakani huku sabun ya kuongea ni gwanji na mafuta tunapaka babycare petroleum jelly zile za jero