Niamini Mimi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2023
- 575
- 917
Vipako havina shida kabisa mkuu,ni vile nakuona mara nyingi jukwaani ukiwa na mada mtambuka!!!Duh Hali mbaya, sija kuuelewa? Kwani vipako vinashida Gani au tatizo lugha nilio tumia? Mkuu hii ni bizness kama bizness zingine
Hahahaaaa🤣🤣🤣 sawa mkuu, karibu sana nunua basi hata kopo Moja kaka, au mchukulie Shem, dada nkVipako havina shida kabisa mkuu,ni vile nakuona mara nyingi jukwaani ukiwa na mada mtambuka!!!
Vinahitaji utaalamu wa michanganyo,skin tones, na mengineyo na wewe wasema ni mgeni Kwa hiyo sekta,huoni inawezekana tukatengeneza kiumbe kingine kipya ndugu muuzaji?!!!Hahahaaaa🤣🤣🤣 sawa mkuu, karibu sana nunua basi hata kopo Moja kaka, au mchukulie Shem, dada nk
Wee em sema kweli? 😂😂😂Mke wanguunatakiwa upige debe mahali Yako na vipesa vya matumizi ndio vinatoka hapa my baby🤣🤣🤣♥️♥️
Wanakuja kaa mkao wa kuuza vipako mahi.Sio mikorogo tu kwa wale wahitaji wa vipako mbalimbali, na mafuta kwa ajili ya kiweka ngozi zetu vizuri Sito waangusha nimejipanga haswa
Ni kweli ndio mana nika kwambia hivo Ina mana siwezi kukwambia kitu amabcho Sina ufahami nacho, ukiona nimekwambia jambo jua nalifahamu ukiona nimekwambia sijui jua sijui angalia kwingine, Asante na karibuVinahitaji utaalamu wa michanganyo,skin tones, na mengineyo na wewe wasema ni mgeni Kwa hiyo sekta,huoni inawezekana tukatengeneza kiumbe kingine kipya ndugu muuzaji?!!!
Ahadi yangu ya kukupeleka abroad bado ipo pale pale, nakidondosha kama si dubei basi New York my love am serious♥️♥️♥️Wee em sema kweli? 😂😂😂
Mwaaaa, nime kukiss dear♥️♥️♥️♥️Wanakuja kaa mkao wa kuuza vipako mahi.
😂😂😂
Watu wewee, 😂😂😂Ahadi yangu ya kukupeleka abroad bado ipo pale pale, nakidondosha kama si dubei basi New York my love am serious♥️♥️♥️
🍻🍻Mwaaaa, nime kukiss dear♥️♥️♥️♥️
Hahaha huwez nisaidia mmPole sana mkuu, huko nisha fika niliishia kakonko, kwa kweli huko Kuna dongo jekundu, asilia ya huko huwafanya watu kuwa weusi sana,
Sijajua nikusaidie nini, ?
Sawa mkuuHahaha huwez nisaidia mm
Mm ndio nakusaidia ww kukulinda