Nimejikaza ila nimeshindwa

Unasema uzi usiende X au Instagram na unaamini vipi huyo mkeo mtarajiwa hana account humu?

Hujui watumiaji wa JamiiForums ni wengi sana ukiachilia wanachama wa kujisajili wengine huingia kama wageni [GUESTS] kupitia google wanaposearch vitu.

Kitu ukikiweka hapa ukae ufahamu fika ndio kimejulikana hivyo tayari, JF ni msitu mnene.
 
usijal hatouona
 
Boss wanawake wanajuana, ukiona mama ako anampinga basi tilia maanani points zake japo sio lazima uzifuate
 
umejiongoza vibaya mkuu
 
Mtu ambaye yuko domant kiasi hicho hivyo vyeo anavipataje?

Kuna kitu Mama anakijua na hatakwambia face to face never.

Sasa wewe jichanganye uone😀
unajiongoza vbaya kwenye hili. kama ni wakuliwa ataliwa sehem yoyote maan hakuna sehem ambayo haina kupanda cheo
 
Japo umeficha ficha, ila kwa vyovyote vile hawezi kuwa mwanachama wa CHAUMA.
 
Mama huwa anamtakia mema mwanaye. Yafanyie kazi aliyokuambia mama then ufanye maamuzi.
 
Hekima ya Mungu itaniongoza. Sitompuuza mama ingali ndo mzazi pekee alieopo
hapo ndo unapofeli, unaweza ukawa na akili kuliko mzazi.
Yaani niache kutumia akili halafu nipangiwe na mzazi ndoa yangu, vipi kama mzazi ni Kataa ndoa?

Unachokifanya ni kumfurahisha mzazi, na ukioa hiyo itakuwa ni ndoa ya mzazi sio yako,

Kuna mwamba alikuwa na scenario kama yako akaoa mke anaye mtaka mama yake, mwamba wala hakuwa anamkubali mke wake bas tu alikuwa anamfurahisha mama yake yaani wale maza ndo ana control kila kitu,

akitibuana na mke wake, maza anatetea mke Mwamba ananywea ndoa inaendelea, bahati mbaya maza akaaga dunia, baada ya mazishi mke wake akawa analalamika toka mamamkwe afariki ndoya yao imekuwa na migogoro mwanaume hamsikilizi,

Watu wazima wakamwambia huyo mwanamke kuwa mume wake ameshafariki(yaani yule mama aliefariki ndo alikuwa mume wake)

Kweli jamaa hakutaka kuendelea na ile ndoa na akawa na uwezo wa kufanya maamuzi kuachana na huyo mwanamke(wasinge achana kama mama yake angekuwa mzima)

Na wewe unataka kufanya kitu kilekile,
 
Wamama wana wivu sana,mimi aliwah kuniita na kuongea mimi kwa huruma sana na kuniambia ukimuoa huyo mwanamke hutaniona kwako,je utapenda nisije kwako mwanangu
 
nazidi kujifunza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…