Nimejikaza ila nimeshindwa

Usioe mwanasiasa
 
Usioe mwanasiasa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kijana unaogopa jf watapublish uzi wako fesibuku.

Ila kiukweli hata mimi kuna baadhi ya kada ni kuacha waoane wao kwa wao ndio wataelewana zaidi. Mama yako yuko sahihi kwa kiasi fulani na points zake zina mashiko.

Mtu anaudanganya umma wa watu buku atashindwa vipi kukupiga kiswahili wewe, umewaza kuhusu ratiba za safari zake nk.
Na kingine wanasiasa huwa ni wabinafsi sana, baadhi yao wako radhi hata kuweka familia zao rehani kwasababu ya madaraka.

Ila kila la kheri mkuu.
 
Ndo nipo nmekwama ila nitakuja na maamuzi mazuri mda sio mrefu nataka nijipe wiki mbili za mwisho za likizo yangu kulitafakri hili swala kwa kina
 
Msikilize mama yako anaona mbali na ameishi kwingi..
 
Tena wa mbogamboga
Subiri kuoa kipeperushi
Ndoa ni utapeli.
 
Nadhani mleta madam kapata somo
 
Wanawake huwa wanajuana. Msikilize mzazi. Hakuna mama asiyependa mema kwa mtoto wake.

Usipende kufata ushauri wa mwanamke hasa kwenye masuala ya mahusiano ya kimapenzi.

Wewe ndiye unayemfahau vema kuzidi mzazi wako. Hatma ya maisha yako ipo mikononi mwako.


Utachagua aya ya kuruka nayo, 1,2 au 3.
 
Ulichokiongea ni hiki hapa chini πŸ‘‡πŸ‘‡

Dube alianza:..πŸ“’πŸ“’
I remember the day I called mama on the telephone
I told her mama
I'm getting married
I could hear her voice on the other side
Of the telephone she was smiling
And she asked me a question that I proudly answered
She said son did you take time to know her
I said mama she's the best
But today it hurts me so
To go back to mama and say mama
I'm getting divorced
Oh I'm getting divorced
This choice I made
Didn't work out the way I thought it would
This choice I made
It hurts me so mama
This choice I made
Didn't work out the way I thought it would
This choice of mine ohh

Mama said to me
It's not easy
To understand it son
But I hope you'll make it
You'll be happy again

Mara nyingi ushauri wa wazazi ni mzuri sana sema ujuaji wa vijana ndo unawagharimu
 
Jibu ni rahisi,haoi mama yako unaoa wewe
 
Kwa navyomuona bimkubwa wako n lazima atakuwa na fake ID yake humu.
 
Usishupaze shingo. Kaa chini vizuri na mama muongee myajenge ndipo uoe usijejifanya mjanja ukadharau mausia ya mama
Ndoa ni yako. Hauoi kwaajili ya familia. Unaoa kwaajili yako. Mimi nashauri fuata moyo wako. Mama atakuja kukubali baadaye kuwa si kila umdhaniaye ndiye.


Mimi wakati naoa sikuwa vizuri na mama yangu, mahali nililipa mwenyewe, mke wangu nilishirikisha kila hatua baadhi ya mambo muhimu. Sasa mama anamheshimu kwasababu tupo na maendeleo yetu. Mke wangu anamjua mama vizuri so hata kuishi naye anaishi kwa tahadhari. As far anaishi kwake hiyo sisi ahitupi shida. Kikubwa tumiza wajibu wa kuisaidia familia yako na ya mke wako equally. Chochote unafanya kwenu fanya pia kwa mkeo and vice-versa.

Ushauri wangu wewe oa as far ndo ulipo penda oa. Usioe kwa kufurahisha watu utakuwa kichaa baadaye. Mwambie mkeo wakati mgumu unapitia ili mshikamane zaidi. Na mlinde mke wako. Kama yupo kwenye siasa mlinde kwa wivu mkubwa. Wanawake ni wepesi kuanguka. Lakini kwa kuwa ni kiongozi mkubwa as you Said naamini atajiheshimu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…