Nimejikuta nalia baada ya kucheki hii movie

Nimejikuta nalia baada ya kucheki hii movie

Poor Brain

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2019
Posts
19,644
Reaction score
40,546
Nimejikuta natokwa na chozi baada ya kucheki huu mzigo aiseee
images (32).jpeg

Wakuu acha kabisa..

All in all now nimepata katoto ka 2000 mi na mashangazi ndo basi
 
Ooh pole kwa raha iliyo fanya ulie..
Na 2000 akakubembelezaaaaaa

Ukajisikia upo cloud 9, kama kijana wa umri wake I guess 🤣🤣🤣

Ilikuwaje Mzee wewe ukadata?
 
Back
Top Bottom