Nimejikuta nalia baada ya kucheki hii movie

Nimejikuta nalia baada ya kucheki hii movie

Hilo la kutuacha mashangazi ni uongo 😎 hauna ubavu huo 😆
Thelle ujue nimepigwa marufuku now kuwa na mashangazi

Then kuna special treatment napewa na haka katoto

Just imagine mtu ana...... Daaah weee mi nishawaacha amini kwamba
Screenshot_20250103_103831_WhatsApp.jpg
 
acha kuendekeza hisia ndo nyinyi mnajitupaga kwenye magorofa!
Mkuu ukute wewe ndo wale wakiwekewa horror muvi mnapiga piga kelele mbele za watu....

Mi ni mfatiliaji wa movie, mpaka nasema haya jua hiki kitu ni kweli na kimeliza wengi sana mi jana nilishindwa shika hisia zangu kwa hiki kitu..

Kingine kilichofanya nilie ni jinsi nilivyounganisha na matukio yangu mengine ya nyuma
 
Mimi huwa natuliza hao wanaopiga kelele tukiwa tunaangalia hivo horror movie!
 
View attachment 3236880
Nimeacha na hili ni onyo nimepewa na haka katoto 😁😁😁😁😁😁
Hii ndo lastly sipendi tena
Ila hivi vitoto huwa vya moto sana
View attachment 3236880
Nimeacha na hili ni onyo nimepewa na haka katoto 😁😁😁😁😁😁
Hii ndo lastly sipendi tena
Ila hivi visichana huwa vinawamudu sana, unapewa makatazo na unatii kwa adabu zote. Safi!

Mimi nilishuhudia jamaa anarudisha gari na fremu kwa sababu kasichana hakataki mali za mshangazi, nilivyoleta humu watu wakaniambia ni chai, haiwezekani. ila haya mambo yapo sana tu!
 
Back
Top Bottom