Nimejikuta nalia baada ya kucheki hii movie

Nimejikuta nalia baada ya kucheki hii movie

Unbroken
Miracle in Cell No. 7
The note book
The green mile
Run boy run
Slumdog Millionaire
The Ninth Day
Only Lovers Left Alive
Life Is Beautiful
Mkuu wee una hatarr yaani nilivo ona hii mirlacle in cell no 7 daah hatar
 
Katoto ka afu 2 sasa hivi kana miaka 25, sio katoto, kwa haraka haraka katakuwa na miaka ya experience kati ya 7 mpaka 8

Ila mishangazi wana mbingu ya pekee yao. Hivi vitoto mie siviwezi.
25 yrs kwa makadirio ya haraka haraka kaingua kwenye dating pool akiwa na miaka 14 kwaiyo ana uzoefu wa miaka 10+ haka sio katoto
 
Nmemaliza
Hata sijalia ๐Ÿ˜€
Ina part two mbona kama haijaisha ?
Poor Brain
Weee kusema ujalia ni uwongoni vile unataka mwenzako nizalilike nionekane tuu hovyo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom