yan uko aliko meno thelathin nanje yote mbilii..Aliko bila shaka ni fulu magego indeed wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]
Mh.vivulana
[emoji13][emoji13]hata siijui.
The Boss,Unapaswa kujizuia ku fall in love na mtu humjui
unaweza kuvutiwa but ukisha fall na mtu humjui unaweza kuwa dissapointed mkikutana
hata hivyo sweetlee ni msichana mwenye mvuto
We unaona hapo kwa maelezo ya mwanaume wameonana?Unajuaje kuwa hawajaonana? [emoji16][emoji16]
Ni jina tu hilo. Mie kijana mwenzio bibie.We mzee utanibemenda.
Ewaaaaaaaaaaah!basi labda bahati ya kwangu
Ewaaaaaaaaaaah!
Sasa mbona mimi napenda wazee!!!Ni jina tu hilo. Mie kijana mwenzio bibie.
Mr penda penda nakusalimia.Hapo zamani za kale nilikupenda wee mtoto sana
Wazee tunajua kulea vizuri.Sasa mbona mimi napenda wazee!!!
Aisee...!!
Siku nikija iweka wazi ID yangu fake ya Kike mtakuja kufa...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wazee tunajua kulea vizuri.
Kama wewe unavyobadilisha! 😁😁[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unanibadilishia tu gia angani.
Sawa....
Kama wewe unavyobadilisha! [emoji16][emoji16]