Nimejikuta nampenda huyu mdada wa JF

Nimejikuta nampenda huyu mdada wa JF

Status
Not open for further replies.
Umenikumbusha jamaa mmoja alikuwa na id ya kike, huko pm full mitongozo. Haki nilikuwa nachekaa.
Kuna watu wako jf kwa lengo la kutongoza tu.
Aisee...!!
Siku nikija iweka wazi ID yangu fake ya Kike mtakuja kufa...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom