Nimejikuta nampenda huyu mdada wa JF

Status
Not open for further replies.
Sasa my King
Wewe ndo umenipoteza kabisaa my dear.. kwanza umeanza na kiTrump.. huko ulikoendelea ndo kabisaa lugha gonganaa .

Hebu njoo chumbani kwanzaa tuyajadili
 
Sasa my King
Wewe ndo umenipoteza kabisaa my dear.. kwanza umeanza na kiTrump.. huko ulikoendelea ndo kabisaa lugha gonganaa .

Hebu njoo chumbani kwanzaa tuyajadili
Sorry my princess kwa kukugonganishia lugha, ila code zinahitajika kidogo ili mambo yawe sawa.
Shida ya chumbani, utanisubirisha mlangoni afu ukani 'Disappoint' bure, otherwise, Promise...
Miss sana my lady.
 
Kinge kingereza aiseee embu tufanyie translation tuweze kuelewa kama umemkubalia au lah bibie SweetieLee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanaume kuwa na ID ya kike Ni USHOGA[emoji350] narudia Tena ni USHOGA[emoji351] kama wewe ni mwanaume na una ID ya kike wewe ni SHOGA [emoji351][emoji351][emoji351][emoji351] Bila shaka Volume inatosha
 
Nauliza tu mwenyekiti wa hiki kikao ni nani?

Naomba mwongozo wa kinachoendelea hapa ndugu zanguni?
 
Nilikua nategemea jibu la kiswahili..[emoji17][emoji17]
 
Sorry my princess kwa kukugonganishia lugha, ila code zinahitajika kidogo ili mambo yawe sawa.
Shida ya chumbani, utanisubirisha mlangoni afu ukani 'Disappoint' bure, otherwise, Promise...
Miss sana my lady.
Usijali kabisaa my King...
Hizo code ndo sizitakii jamani!!
Nisamehe mimi jamani, mesahau hupendi disappointment!!
 
Duh kweli jamaa alifanya utafiti
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…