Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,394
- 59,069
Sawa dear..ngoja nianze kazi ya kupitia neno moja mojaUsinisahau tafadhali...
Sweetlee sio mtu mzuri kabisaa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa dear..ngoja nianze kazi ya kupitia neno moja mojaUsinisahau tafadhali...
Sweetlee sio mtu mzuri kabisaa!
Sawa dearSawa dear..ngoja nianze kazi ya kupitia neno moja moja
Chips kuku ntakula jumapili kakake...
Leo ni mirinda nyeusi tuuu
Hvi kwanini unanisusa Hvi dadaa! ???Kaka ee
Hahaha Our brother broke the code. .BroCode Rule #67
Never insult another bro just to impress a lady, NEVER!!
How blessed I am for this Titicomb, thank you so so much..!!As for SweetieLee you deserve this.
I only give credit when it's due.
mkuu unatafuta ugomvi sasa, hivyo vivulana ndio vyenye visichana vyao. unataka kuvipora sio!?Mimi sio kama hivi vivulana vyenu vya humu MMU
Ni shida unaweza kukuta unampenda/unatamani dada yako au mama yako kabisa.Hivi huwa na jiuliza inawezekana vipi mtu kupenda id fake inayomilikiwa na mtu asiye mfahamu wala kumuona?
Dictionary yako imesemaje maana hii yangu inanambia habari za marehemu! Kwani mleta mada amekufa??[emoji2][emoji2] nimepata dictionary hapa nataka nin'gamue walau machache
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44] hiyo dictionary yako itupeDictionary yako imesemaje maana hii yangu inanambia habari za marehemu! Kwani mleta mada amekufa??
View attachment 1200344
Ni shida unaweza kukuta unampenda/unatamani dada yako au mama yako kabisa.
Haha hiyo kali mkuu bibi tena lakini kwa hawa mabibi wa kisasa inawezekana kabisa. Ni shida aisee!!Au bibi kabisa[emoji81] jf ni kubwa sana
Kiukweli mpaka sasa hujapata ila najaribu kumtafuta @Rebecca 83 tuone kama itawezekana awe wifiyo..Mdogo Nina mawifi wangapi humu?
Kwani mm nishawi kupenda mwingine tofauti yako..?Mr penda penda nakusalimia.