Miaka miwili inatosha kabisa kuzijua sifa za kiongozi.Kuna uraia wa watanzania unamashaka, Kumwingiza Rais mwenye miaka 2 na genge la dictators ni chuki dhahiri binafsi. Maoni mazuri sana umetoa ila generalisation huwa sio nzuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka miwili inatosha kabisa kuzijua sifa za kiongozi.
SizonjeHuyo president wa mwisho mfuata upepo cjamfahamu bado fafanua vzur..
Unamaanisha nae ataongeza mda na kuvunja katiba? I really don't find him to be of that character.Miaka miwili inatosha kabisa kuzijua sifa za kiongozi.
Wewe unaendesha noah ya rangi gani? Kama ni nyeusi kakushtukiaHuyo president wa mwisho mfuata upepo cjamfahamu bado fafanua vzur..
Namtazama John Kerry anavyowasifu kwa kuendesha uchaguzi kistaarabu na kwa kutumia teknolojia ya kisasa ya kukusanya na kujumlisha matokeo na kukamilisha process nzima ndani ya siku 2 tu za uchaguzi, observers wote kutoka UE, Africa Union, EAC wanaonesha kuridhika mno na uchaguzi...nakosa la kusema zaidi tu ya kuwaonea wivu hawa jamaa wa taifa hili lililostaarabika na lenye uchumi mkubwa zaidi Afrika Mashariki;
Hakika ndugu zetu hawa wako level nyingine kulinganisha na Dictators Club ya akina Kagame, Museveni, Nkurunzinza, Kabila na huyu mwenzao bendera fuata upepo asiyejua kama jua hukucha na kuchwea...chaguzi katika nchi zetu hizi ni political nonsense, nothing short of that!
Hongereni Wakenya, endeleeni kuijenga nchi yenu kuwa mfano wa taifa la kistaarabu kabisa katika Africa, taifa lenye uchumi imara, taifa lenye wasomi wanaojitambua...hongereni sana Mazee!
Myweather Mkuu!!!Huyo president wa mwisho mfuata upepo cjamfahamu bado fafanua vzur..
Na huu ndo ukweli,Ki ukweli kuna vitu hawa jamaa wakenya wametupiga gap, ila hulka zetu tu binadamu kukubali inakuwa ngumu.... Hongera kwao kwa zoezi la uchaguzi tangu campaign hadi hitimisho kwenye box la kura.
"A voice of one calling in the wildernes"
Tusipo kubali kupambana na hali yetu sisi kama Tanganyika, na kuendelea kukikumbatia ama kung'ang'ania Kisiwa cha Zanzibar (kama sehemu ya Muungano) wakati wenyewe hawana haja wala nia ya dhati katika kuulinda na kuuenzi Muungano wenyewe, tusitarajie Muujiza wa Chaguzi ya Haki na Amani Daima....!!
Tazama/fuatilia kumbukumbu ya Chaguzi zilizo pita....
Wazanzibari siku zote ndio jamii/sehemu ya watu wanatia dosari katika Uchaguzi wa Tanzania, na yote hii ni kwa sababu ya kulazimisha kutaka kuwatawala watu wanaohisi hawana faida na Muungano uliopo....!!
Achia Zanzibar ijitegemee, huku Bara tupambane wenyewe kuuondoa Utawala utakao onesha dhahiri hauendani sambamba na matakwa ya wananchi.
Kwa hatua na maamuzi haya, lazima katika nchi yetu, itapatikana Demokrasia na uchaguzi wa haki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na yule aliyetekwa na kuuawa anafuta uzuri wa demokrasiaKenya wapo vizuri kila idara kulinganisha na hii nchi ya kusadikika ..