Nimejikuta nina mahusiano na mke wa mtu ila kuna kitu nimejifunza na wengine itawafunza

Asali unapo ionja mara ya kwanza siku zote ni tamu sana.. ila kadiri unavyo zidi kuionja inazidi utamu na ukiendelea kuonja mara kwa mara inageuka na kua chungu... Na hapo ndipo akili inapo anza kufanya kazi kisawasawa....
 
Nimeishia hapo kwenye kulazwa Banda la umbwa

Kimsingi mwanamke mwanamke Ana njia nyingi ya kukudanganya na wee ukaingia kingi

Take care marinda yako

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Maelezo yako yote hayo yanaonesha wewe ni mgeni wa hawa viumbe.
 
Someone's wife is a no go zone. Seems you have little experience with women.

Women are manipulative in nature, and in this case you are already manipulated.

From this story of yours nothing is wise, Man up.
Bora umamwambia
 
Wacha ujuaji ww kula vyako kwa sasa basi ila kuleta ujuaji na kujifanya unajua kushauri ni uboya

Uyo ni mke wa mtu na alokueleza ni kwa upande wake na kakueleza kwa kujifanya yeye ni victim kwaiyo kula mzgo wako kwa sasa mengne mwachie yeye na mmewe
 
Pumbavu wewe. Kumbe una mahusiano na mke wangu. Nitakuonyesha kijana. Huyo mwanamke kakudanganya vitu vingi kunihusu ili aweze kuwa na justification ya kutembea na wewe. Kakwambia mabaya yangu, na ya kwake amekwambia?Unadhani yeye ni malaika eeeh?
Sasa nitakachokufanyia, hautaweza kusahau, utajua gharama ya kula mali yangu.
Mbona hujasema pia anavyokupa pesa na kukulea kwa pesa ninazompa mimi? Yaani unanit*mbea mke, na pesa zangu anakupa na bado unakuja kunisimanga hapa.
Nitakachokufanya uje kuhadithia pia hapa. Itakua fundisho kwa wapenda vya watu.
Nimeshafahamu nyendo zako.
 
Kwanza afa ufala wa kutembea na mke wa mtu.
Pili usiamini machozi ya mwanamke zaidi ya mama yako.

Tatu siku hizi watu wanaishi mjini kwa akili
usikute huo ni mchezo ulio ratibiwa kwa ustadi mkubwa sana na huyo mwanamke na mmewe wanasubiri uingie kwenye 18 zao wakuchonjoe vimali vyako vyote ubaki kapuku.
Zinduka acha ufala.
 
Asante sana kwa darasa, ila mahusiano naye(mke wa mtu) hayamsaidii huyo shemeji yako hata kidogo na si salama kwako.
Usidhani una msaada ama upendo mkubwa hivyo kwa mke wa mtu.
Na tena usifikiri kwamba huyo shemeji yako eti ni mzuri hivyo mithili ya malaika, hapana, anafanya masahihisho kwako kwa yale aliyokosea kwa mumewe.
Kuwa makini!
 
Kama bado hawajaachana rasmi kwa talaka achana na huyo mwanamke. Na wewe kua nae ndio utachelewesha huo mchakato wa wao kupeana talaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…