Nimejikuta nina mahusiano na mke wa mtu ila kuna kitu nimejifunza na wengine itawafunza

Mke wa MTU akuonyeshe cheti cha talaka kwanza ndipo utumbukize kama unapenda kuishi
 
Ungehakikisha huyo mwanamke amepata talaka yake kabisa ndio uendelee nae yule jamaa anaweza kuja kukusumbua
 
Achana na wake za watu. Hata ujielezeje, kaa mbali na wake za watu kabla hujaandika uzi mchungu humu.
 
sasa tupe hatima yako na huyo mdada
 
You said it all

Someone's wife is a no go zone. Seems you have little experience with women.

Women are manipulative in nature, and in this case you are already manipulated.

From this story of yours nothing is wise, Man up.
 
Kwa kuwa hakuna talaka basi achana naye kama wadau wengi wasemavyo.
 
Duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…