Tunahitaji tuwe na ajira ya mkataba haya mambo ya mtu akiwa kazini mpaka afikishe miaka 60 tuachane nayo.Hizi ofisi za umma zina shida sana, leo nimeamka mapema sana nikasema acha nije wanikadirie ili nilipe kodi yao.
Shida inaanza wananiambia TIN haisomi location ya hapo kwao hivyo inabidi niihamishe, nimeingia online nimesubmitt request bado wananiambia haiwezi kuhama lazima niende huko ilipokuwa mwamzo,sasa dunia hii ya utandawazi mimi nisafiri zaidi ya km 1000 kubadili location ya TIN, sasa wameweka huduma online kwa ajiri ya nini?
Hawa wafanyakazi wapo wapo tu naona sababu hawana cha kupoteza, wanasumbua watu alafu mwisho wa siku waje wafunge biashara!
Hapa nimepewa namba zao zinaita tu hawapokei...ngoja niachane nao wasiniumize kichwa bure!TRA Tanzania Msaidieni mwananchi huyu
mwanachi mwenzangu nikupe ushauri tu ili wakubwa wa hizo ofisi wakusaidie najua tra wapo humu jamiiforum. weka mawasiliano yako iwe rahisi kukutafuta huwezi jua kuliko ukiacha hivi wenye nia ya kukusaidia watashindwa maana hukuweka mawasilianoHizi ofisi za umma zina shida sana, leo nimeamka mapema sana nikasema acha nije wanikadirie ili nilipe kodi yao.
Shida inaanza wananiambia TIN haisomi location ya hapo kwao hivyo inabidi niihamishe, nimeingia online nimesubmitt request bado wananiambia haiwezi kuhama lazima niende huko ilipokuwa mwanzo, sasa dunia hii ya utandawazi mimi nisafiri zaidi ya km 1000 kubadili location ya TIN, sasa wameweka huduma online kwa ajili ya nini?
Hawa wafanyakazi wapo wapo tu naona sababu hawana cha kupoteza, wanasumbua watu halafu mwisho wa siku waje wafunge biashara!
Wakibinafsishwa wanalalamika ingekuwa hela inaenda kwa private entity ingeshapokelewa zamani, hii nchi ngumu sana, mi nawashangaa wanaopinga dp world , ofisi za umma zinahitaji mabadiliko kwenye uendeshwajiHizi ofisi za umma zina shida sana, leo nimeamka mapema sana nikasema acha nije wanikadirie ili nilipe kodi yao.
Shida inaanza wananiambia TIN haisomi location ya hapo kwao hivyo inabidi niihamishe, nimeingia online nimesubmitt request bado wananiambia haiwezi kuhama lazima niende huko ilipokuwa mwanzo, sasa dunia hii ya utandawazi mimi nisafiri zaidi ya km 1000 kubadili location ya TIN, sasa wameweka huduma online kwa ajili ya nini?
Hawa wafanyakazi wapo wapo tu naona sababu hawana cha kupoteza, wanasumbua watu halafu mwisho wa siku waje wafunge biashara!
Kweli kabisa,private wasingeruhusu hata Vodacom tu hapo hawawezi ruhusu eti urudi na hela nyumbani, memtality yao wanaamini mpaka nimewafata basi nimekwama mahali na ni shida sana na hiyo tax clearance yao,kwahiyo wanajua nitarudi tu.Wakibinafsishwa wanalalamika ingekuwa hela inaenda kwa private entity ingeshapokelewa zamani, hii nchi ngumu sana, mi nawashangaa wanaopinga dp world , ofisi za umma zinahitaji mabadiliko kwenye uendeshwaji
Namba zao napiga hawapokei, humu ndo nitapata huo msaada?mwanachi mwenzangu nikupe ushauri tu ili wakubwa wa hizo ofisi wakusaidie najua tra wapo humu jamiiforum. weka mawasiliano yako iwe rahisi kukutafuta huwezi jua kuliko ukiacha hivi wenye nia ya kukusaidia watashindwa maana hukuweka mawasiliano
Kweli wanachowaza ni kutengeneza mazingira ya rushwa tu, kupiga hatua ni ngumu sana kwa mwendo huu!Hii nchi wameshazoea rushwa
Juzi mtu namuelekeza mtu akalipie benki kununua gari, nimempa invoice eti benki wanataka contract ya kumuuzia, daah!
ndg hebu tupia namba mimi nina mtu kiongozi namfahamu ni jirani yangu akusaidieKweli wanachowaza ni kutengeneza mazingira ya rushwa tu, kupiga hatua ni ngumu sana kwa mwendo huu!
Hao wanajua kukumbusha tu watu kulipa kodiTRA Tanzania Msaidieni mwananchi huyu
Sasa wapo ofisini tu kuzunguka na vitiHao wanajua kukumbusha tu watu kulipa kodi