KERO Nimejileta mwenyewe TRA kulipa kodi ila vikwazo ni vingi sana!

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Hizi ofisi za umma zina shida sana, leo nimeamka mapema sana nikasema acha nije wanikadirie ili nilipe kodi yao.

Shida inaanza wananiambia TIN haisomi location ya hapo kwao hivyo inabidi niihamishe, nimeingia online nimesubmitt request bado wananiambia haiwezi kuhama lazima niende huko ilipokuwa mwanzo, sasa dunia hii ya utandawazi mimi nisafiri zaidi ya km 1000 kubadili location ya TIN, sasa wameweka huduma online kwa ajili ya nini?

Hawa wafanyakazi wapo wapo tu naona sababu hawana cha kupoteza, wanasumbua watu halafu mwisho wa siku waje wafunge biashara!
Unataka kumpa Kaisari cha kwake. Halafu huyo Kaisari anakwambia safari km 1000 ili unilipe 🤣
 
Mwananchi mwenzangu pole nimecheki na jirani yangu huyo baada ya kunitumia taarifa zako nikampa ameniambia tayari na amesikitika sana na yaliyokukuta nikamuomba afatilie maana kasema hategemi wao kama tra watoe huduma mbovu sababu matarajio na miongozo yao ni huduma bora zenye weledi na uadilifu
Mkuu shukrani imeshakuwa approved, barikiwa!
 
Hizi ofisi za umma zina shida sana, leo nimeamka mapema sana nikasema acha nije wanikadirie ili nilipe kodi yao.

Shida inaanza wananiambia TIN haisomi location ya hapo kwao hivyo inabidi niihamishe, nimeingia online nimesubmitt request bado wananiambia haiwezi kuhama lazima niende huko ilipokuwa mwanzo, sasa dunia hii ya utandawazi mimi nisafiri zaidi ya km 1000 kubadili location ya TIN, sasa wameweka huduma online kwa ajili ya nini?

Hawa wafanyakazi wapo wapo tu naona sababu hawana cha kupoteza, wanasumbua watu halafu mwisho wa siku waje wafunge biashara!
Yaani TRA ni dude. Yaani kuna vikwazo vikubwa sana kulipa kodi yaani huwa nawahurumia wateja wanaoenda kusbiria huduma ofisi za TRA YAANI UTADHANI wapo klabu ya pombe
 
Nlimfanyia mtu tin transfer kutoka zanzibar kuja mkoa wa kodi kinondoni. Ilikua approved online tu as in zanzibar ndo wali approve ( reason ilikua change of employment)
 
Hizi ofisi za umma zina shida sana, leo nimeamka mapema sana nikasema acha nije wanikadirie ili nilipe kodi yao.

Shida inaanza wananiambia TIN haisomi location ya hapo kwao hivyo inabidi niihamishe, nimeingia online nimesubmitt request bado wananiambia haiwezi kuhama lazima niende huko ilipokuwa mwanzo, sasa dunia hii ya utandawazi mimi nisafiri zaidi ya km 1000 kubadili location ya TIN, sasa wameweka huduma online kwa ajili ya nini?

Hawa wafanyakazi wapo wapo tu naona sababu hawana cha kupoteza, wanasumbua watu halafu mwisho wa siku waje wafunge biashara!
Ujinga sana huo... Fanya hivi, uliza meneja wa hapo nenda kampe maelezo haya haya uone utakavyosaidiwa.. wengi wao hawajui nini wanafanya wala hiyo mifumo yao.
 
Yaani TRA ni dude. Yaani kuna vikwazo vikubwa sana kulipa kodi yaani huwa nawahurumia wateja wanaoenda kusbiria huduma ofisi za TRA YAANI UTADHANI wapo klabu ya pombe
unajua tumeumbwa na kukuzwa katika mazingira tofauti sana. Kuna watu huwezi kuamini kama ni wafanyakazi wa tra na kuna watu unaweza pia fikiria wapo tra. mimi mara nyingi napata msaada tu ndiyo maana hata ndugu yetu hapa niliomba niweze msaidia kuwafikishia naowafahamu.kuna baadhi wapo na shida nadhani mazingira na vichwa vyao vya ajabu na kuna wengi wao nawaona kwangu hawana shida. mimi huwa nikiona mtu kanizengua huwa natafuta wa juu yake nampelekea kesi ili nione kama hatonipa husuma nayostahili. tusiogope toa taarifa maana tukifichaficha tunazidi ficha ugonjwa.
 
mwanachi mwenzangu nikupe ushauri tu ili wakubwa wa hizo ofisi wakusaidie najua tra wapo humu jamiiforum. weka mawasiliano yako iwe rahisi kukutafuta huwezi jua kuliko ukiacha hivi wenye nia ya kukusaidia watashindwa maana hukuweka mawasiliano
Waweke utaratibu kila mtu afahamu. Mimi kuna biashara hadi leo wanazingua kunihudumia hadi niende nilipoanzia.

Kwa vile ni wana napiga simu. Nilikwama kuhamisha faili kwa huu ushamba wao. Taasisi kubwa lakni bado ipo local.
 
Back
Top Bottom