Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 4,437
- 13,836
Mimi ilikuwa hivyo ikabidi niwape rushwa ya shilingi 20k ili waihamishe. Ilikuwa TRA pale mwenge.Hizi ofisi za umma zina shida sana, leo nimeamka mapema sana nikasema acha nije wanikadirie ili nilipe kodi yao.
Shida inaanza wananiambia TIN haisomi location ya hapo kwao hivyo inabidi niihamishe, nimeingia online nimesubmitt request bado wananiambia haiwezi kuhama lazima niende huko ilipokuwa mwanzo, sasa dunia hii ya utandawazi mimi nisafiri zaidi ya km 1000 kubadili location ya TIN, sasa wameweka huduma online kwa ajili ya nini?
Hawa wafanyakazi wapo wapo tu naona sababu hawana cha kupoteza, wanasumbua watu halafu mwisho wa siku waje wafunge biashara!
Uwezo wa kuihamisha wanao, ila wanataka RUSHWA. nchi hii ina watumishi wa umma wapumbavu sana, hiyo kodi unayotaka kulipa ndio mishahara yao lakini bado wanataka rushwa mbuzi hao.