Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 3,751
- 6,337
Duh!Jumla ya magroup sita yananitaka nitoe si chini ya laki laki.
Nimeleft. Sitaki mjinga.
Hizi ndoa za maghalama hiz ni upuuzi mtupu. Watu kuoana muoame wenyewe mizigo mtubeneshe sisii shenzi.
Mimi natoaga tu mwanaharaamu apite mara zote kulipishana mahela ni ujuha.
Kwani mnasshimdwa nn kujichanga mkala unwabwa na mdg zenu. Au washkaji wako. Chai, soda kalimati tosha kuolea au kuoa. Yanini uchamgishe pesa uipoteze, na kias hicho let say 15 millions wewe mwenyewe unakihitaji. Hakikuumi kukipoteza kuwapa deal wapikaji? Wapambaji? AMadomo kaya aka wasema hovyo ma MC. Unajisikiaje kupoteza pesa kukodi magari? Kulipia millions ukumbi ambao ni siku moja kwa nn usiipate million ukannua matofali ukajenga?
Mimi nadhani ule mapngo wa kulipa kodi ya sherehe ianzishwe, kutokomeza huu upuuzi.
Cha ajabu wengi mnaoana kwa mamilions of money hamdumu kwenye ndoa na pesa huishia kupotea na kwamba umewatia hasara wachamgiaji.
Nimeleft magroup ya harusi si kwa nia Mbaya ni kwa ustawi wa maisha ya watu wanaoumia nanhawasemi.
Yaani bado kuna watu mmenasa huko? Mimi niliwahi kumwambia jamaa yangu m1 kuwa km ulikuwa hujajiandaa na kukomaa kifikira huna 7bu ya kuoa au kuolewa siyo dharura mpaka unisumbue mimi.
Niko tayari kushirikiana bega kwa bega kwenye matukio ya dharura km ajali, ugonjwa, misiba na majanga mengineyo na siyo sherehe ya aina yoyote.
Basi mpaka kesho huwa hawahangaiki na mimi kuhusu sherehe.