Nimejiondoa kwenye makundi sogozi ya harusi

Nimejiondoa kwenye makundi sogozi ya harusi

Umeongea
Mimi nafikri asilimia kubwa ya michango ya harusi ingelenga kuwasaidia maharusi kuanza maisha, mfano kama bajeti ni milioni 25, milioni tano ndo itumike kwenye sherehe ile milioni ishirini wapewe wakaanze maisha.
Umeongea La maana kubwa sana.

Juzi juziylana harusi full misifa kujisifu niliona wabongo wa ajabu sana.


Leo huenda bi harusymwanamwalii anaomba chunvi
 
Ungesema nikueleweshe.
Nimejielewesha mwenyewe kwa sababu najua wapo Wanawake wanapogundua wanamliki mwanaumywanagharamia ndoa na kila kitu wao(wanawake).

Na unakuta mwanaume mwenyewe hana akili hata z kujibidisha, wanaishia kuteleza kwenye masofa na kwenda kuangia Mpira vibandani, na kiwala wasichana wa kazi.

Wanaforce waolewe na mwanaume mvivu. Kwa gharama kuuubwa aliyoipata kwa kuchangishana kwenye magroup nankuwaingiza wanafamilia gharama isiyo ya lazima.

Wapo wanajulikana
 
Utakuta kuna watu wanataka kuoana ila kabla ya ndoa walijichanga na kujinyima wakanunua gari, chaajabu wakitaka kufanya harusi/Ndoa wanataka watu wawachangia tena kwa masharti ya viwango vya fedha.
 
Back
Top Bottom