Nimejipa challenge ya kutotumia Facebook

Mr Gratitude

Member
Joined
Aug 8, 2020
Posts
48
Reaction score
66
Leo ni siku ya 3 tangu nipumzike kutumia mtandao wa facebook ( nimediactivate my accont) nimeanza kuhisi kama naumwa, kweli hii mitandao ipo addictive ngoja nione nita-sustain kwa muda gani, sasa nipo JamiiForums nacheki wana wakishusha nyuzi za mtumbadi Putin
 
Kama inakusaidia kwenye maendeleo ya biashara zako usiache kuitumia
 
Leo ni siku ya 3 tangu nipumzike kutumia mtandao wa facebook ( nimediactivate my accont) nimeanza kuhisi kama naumwa, kweli hii mitandao ipo addictive ngoja nione nita-sustain kwa muda gani, sasa nipo JamiiForums nacheki wana wakishusha nyuzi za mtumbadi Putin

Hizi platforms za mitandao ya kijamii kuna ambayo umewahi kuitumia kuingiza hela ??
 
Inawezekana, especially kama ni old timer ambao Facebook imekuja tukiwa tayari tushakutana na social platforms nyingine zilizokuwepo kabla...

Binafsi nilifuta kila kitu huko na nikaacha kuitumia, ingawaje account bado ipo...
 
Binafsi naitumia toka 2010- mpaka sasa. Imenisaidia sana achilia mbali kwa sasa magasho ni wengi lakini kwa upande wangu imenipa faida nyingi sana. Kwa kifupi mimi kila platforms imenipa connection kubwa sana.
Hongera kwa kutumia mitandao ya kijamii kama fursa
 
Back
Top Bottom