Nimejipa challenge ya kutotumia Facebook

Nimejipa challenge ya kutotumia Facebook

Hahah...ndio swali inayofuata hiyo

Anyway tufanye ni ile ya kwanza ๐Ÿ˜˜
Hiyo ya kwanza ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š
Hata mie nilikumiss mtu nane
Nikawaza kukuPM nikasema hapana...hebu ngoja nivute vute kidogo labda utanikumbuka ๐Ÿ˜

Kwema lakini?
 
Facebook ni very addictive...niliacha miaka kadhaa iliyopita hata mimi sikuamini kama nimefanikiwa kuacha
 
FB ni kwa ajili ya kuwasiliana na watu wangu wa mbolea
Nalog off
 
Hiyo ya kwanza ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š
Hata mie nilikumiss mtu nane
Nikawaza kukuPM nikasema hapana...hebu ngoja nivute vute kidogo labda utanikumbuka ๐Ÿ˜

Kwema lakini?

๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š
Kwema sana Jo, shaka ondoa...basi next time ukinimiss ile ya kwanza ๐Ÿ˜Š PM ndio mahali huwa najibanza huko nikisubiri presence ya Jo
 
Back
Top Bottom