Mr Gratitude
Member
- Aug 8, 2020
- 48
- 66
Acha kabisa.I have gt almost 7 years toka nime deactivate account na wala si feel kurud huko.Sina twitter sina insta sina lolote zaid JF na QuoraHivi kumbe facebook bado ipo
Mamb NumbisaFacebook tamu na ina addiction
Kama inakusaidia kwenye maendeleo ya biashara zako usiache kuitumiaLeo ni siku ya 3 tangu nipumzike kutumia mtandao wa facebook ( nimediactivate my accont) nimeanza kuhisi kama naumwa, kweli hii mitandao ipo addictive ngoja nione nita-sustain kwa muda gani, sasa nipo JamiiForums nacheki wana wakishusha nyuzi za mtumbadi Putin
Leo ni siku ya 3 tangu nipumzike kutumia mtandao wa facebook ( nimediactivate my accont) nimeanza kuhisi kama naumwa, kweli hii mitandao ipo addictive ngoja nione nita-sustain kwa muda gani, sasa nipo JamiiForums nacheki wana wakishusha nyuzi za mtumbadi Putin
Binafsi naitumia toka 2010- mpaka sasa. Imenisaidia sana achilia mbali kwa sasa magasho ni wengi lakini kwa upande wangu imenipa faida nyingi sana. Kwa kifupi mimi kila platforms imenipa connection kubwa sana.Hivi kumbe facebook bado ipo
Hivi kumbe facebook bado ipo
Broo FB asaivi iko pana sanaa kwa mishe mishe za kujifunza.Acha kabisa.I have gt almost 7 years toka nime deactivate account na wala si feel kurud huko.Sina twitter sina insta sina lolote zaid JF na Quora
Hongera kwa kutumia mitandao ya kijamii kama fursaBinafsi naitumia toka 2010- mpaka sasa. Imenisaidia sana achilia mbali kwa sasa magasho ni wengi lakini kwa upande wangu imenipa faida nyingi sana. Kwa kifupi mimi kila platforms imenipa connection kubwa sana.
Hizi platforms za mitandao ya kijamii kuna ambayo umewahi kuitumia kuingiza he
yes few times nilipost simu nikapata mtejaHizi platforms za mitandao ya kijamii kuna ambayo umewahi kuitumia kuingiza hela ??