Nimejipa challenge ya kutotumia Facebook

Acha kabisa.I have gt almost 7 years toka nime deactivate account na wala si feel kurud huko.Sina twitter sina insta sina lolote zaid JF na Quora
Kumbe we ni Mimi aseehh!nimefuta IG,twita sina,only jf!
 
actually hujakimbia chochote, hapo umesubstute tu mitandao, addiction itaendelea kua hapo.
Yani ni kama ulikua unapiga Lager sasa hivi unapiga LITE.
 
Niliijua JF kupitia page yao ya Facebook, tangu siku hiyo(mwaka 2017) nikaipotezea FB hadi leo hii.

Sina mapenzi ya kuitumia kabisa, nina akaunti zangu 2(real) huko sina muda nazo kabisa.

Instagram pia nimeshidwa kuimudu/kuitumia kabisa, sababu kubwa ni namna ya kuchapisha maudhui ambapo hadi uambatanishe picha au video.

JF imebaki ndio kijiwe changu pekee, ikifuatiwa na Twitter sambamba na Linkedln.
 
Ndio mdogo wangu, naona kila mtu anaibeza FB as if ni mtandao wa kitoto sana, actually ni mtandao mzuri sana, inategemea umejiunga page zipi...kama mtu kajiunga page za machangudoa wa magomeni, au mafunzo ya jinsi ya kufvck lazima aone ni mtandao wa kijinga.
 
Kwa haraka haraka kuna aina kama tatu hivi za kumiss

Usiniambie nikutajie tafadhali πŸ˜„

Hahah...ndio swali inayofuata hiyo

Anyway tufanye ni ile ya kwanza 😘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…