Nimejipa challenge ya kutotumia Facebook

Hahah...ndio swali inayofuata hiyo

Anyway tufanye ni ile ya kwanza 😘
Hiyo ya kwanza 😊😊
Hata mie nilikumiss mtu nane
Nikawaza kukuPM nikasema hapana...hebu ngoja nivute vute kidogo labda utanikumbuka 😁

Kwema lakini?
 
Facebook ni very addictive...niliacha miaka kadhaa iliyopita hata mimi sikuamini kama nimefanikiwa kuacha
 
FB ni kwa ajili ya kuwasiliana na watu wangu wa mbolea
Nalog off
 
Hiyo ya kwanza 😊😊
Hata mie nilikumiss mtu nane
Nikawaza kukuPM nikasema hapana...hebu ngoja nivute vute kidogo labda utanikumbuka 😁

Kwema lakini?

😊😊
Kwema sana Jo, shaka ondoa...basi next time ukinimiss ile ya kwanza 😊 PM ndio mahali huwa najibanza huko nikisubiri presence ya Jo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…