AccomplishedEntrepreneur
JF-Expert Member
- Feb 25, 2020
- 507
- 878
- Thread starter
- #21
1. Mwezi ambao hakulipa mshahara inahesabika hapo ndipo alivunja mkataba. Its almost half a year now... Nilikuwa natafuta namna ya kuelewana nae ila nilipoona yupo adamant sana ndipo nataka ku initiate movement za kimamlaka. Ushahidi usio shaka upo mwingi sana1.Una muda gani tokea uache kazi? Kama ni zaidi ya siku 30 unahitaji kufungia kesi kwa msingi wa dharura ukiwa na ushahidi.
2. Je una mkataba? Unasemaje kuhusu kuvunja mkataba?
3. Je kulikuwa na chama cha wafanyakazi na je kilishakubaliana na Mwajiri kuhusu kucheleweshwa kwa mishahara?
4. Una uhakika mwajiri hakukufungulia shauri la kinidhamu kuwa umetoroka ofisini na kuisababishia hasara Kampuni?
2. Mkataba ninao ulikua uexpire may hapo ila kwa kuwa pale hakua analipa mishahara ilibidi nitoke pale as a survival measure, you know. Sasa mimi niliandika EXIT letter sikusema najiuzuru maana mkataba ulishavunjika mwezi alioacha kulipa nikabaki pale for some 2 months more
3. Hakuna chama na hajawai kutoa sababu za kutolipa mshahara... Kiburi sana
4. Aise yaani iam so clean and innocent so far. Maana hadi nataka kumshtaki nimehakikisha on my closet there is no skeleton . Sidhani kama atachomoka labda atumie influence yake maana ana vibopa wazito