Nimejipanga kumshitaki Mwajiri wangu CMA

Nimejipanga kumshitaki Mwajiri wangu CMA

Uko sahihi asimshitaki kwa kumfukuza bali kwa kumnyima mshahara.
Mwajiri atajitetea kwamba jamaa ni mtoro kazini, naye jamaa atajitetea kwamba kwa kuwa amekuwa mtoro kwa kuwa anakosa pesa ya kujikimu pamoja na nauli, hivyo inambidi kufanya vibarua vya kusukuma siku ili aweze kujikimu. Na aweke wazi kuwa yuko tayari kazini wakati wowote pindi atakapo lipwa madai yake. Hivyo mwajiri itamlazimu kuweka wazi kwanini hamlipi mtumishi wake, lipi atakamilisha malipo pia mama bado anamhitaji ama laah. Kama hamuhitaji itabidi ampe barua ya kumfukuza kazi kwa utoro. Hivyo barua atakuwa ameipa
N.B. jamaa hajaweka wazi kwenye barua yake aliandika nini, maana inaweza kutumika kama mtego
Mtego gan
 
Back
Top Bottom