Nimejipanga kumshitaki Mwajiri wangu CMA

1. Mwezi ambao hakulipa mshahara inahesabika hapo ndipo alivunja mkataba. Its almost half a year now... Nilikuwa natafuta namna ya kuelewana nae ila nilipoona yupo adamant sana ndipo nataka ku initiate movement za kimamlaka. Ushahidi usio shaka upo mwingi sana

2. Mkataba ninao ulikua uexpire may hapo ila kwa kuwa pale hakua analipa mishahara ilibidi nitoke pale as a survival measure, you know. Sasa mimi niliandika EXIT letter sikusema najiuzuru maana mkataba ulishavunjika mwezi alioacha kulipa nikabaki pale for some 2 months more
3. Hakuna chama na hajawai kutoa sababu za kutolipa mshahara... Kiburi sana
4. Aise yaani iam so clean and innocent so far. Maana hadi nataka kumshtaki nimehakikisha on my closet there is no skeleton . Sidhani kama atachomoka labda atumie influence yake maana ana vibopa wazito
 
Kwenye barua yako ya kutoka uliandika sababu zipi?

Asije kushikilia kwamba ulijiuzulu hivyo wewe ndiye unapaswa kuilipa kampuni.
Yule alishanilima mshahara mmoja in lieu of notice. Asa apo amenipora maana mi niliposema natoka mkataba ulikuwa void tayari
 
NI kweli mmeshindwa kuongea na kukubaliana kulimaliza hili Bila kufikishana mahakamani?

Kuna taarifa unazificha.
Yupo adamant sana. Kwahiyo mimi nikifika CMA nitadai kila kilicho changu. Ila angekuwa mwelewa wala nisinge hangaika nae licha ya madhambi yake chungu mbovu
 
Nashukuru sana. Such a selfless fellow🫡
 
Yaani itupiliwe mbali hata kama EVIDENCE zipo? Just because nimekaa zaidi ya miezi 9 bila kuwasilisha kesi?
 
Uko sahihi asimshitaki kwa kumfukuza bali kwa kumnyima mshahara.
Mwajiri atajitetea kwamba jamaa ni mtoro kazini, naye jamaa atajitetea kwamba kwa kuwa amekuwa mtoro kwa kuwa anakosa pesa ya kujikimu pamoja na nauli, hivyo inambidi kufanya vibarua vya kusukuma siku ili aweze kujikimu. Na aweke wazi kuwa yuko tayari kazini wakati wowote pindi atakapo lipwa madai yake. Hivyo mwajiri itamlazimu kuweka wazi kwanini hamlipi mtumishi wake, lipi atakamilisha malipo pia mama bado anamhitaji ama laah. Kama hamuhitaji itabidi ampe barua ya kumfukuza kazi kwa utoro. Hivyo barua atakuwa ameipa
N.B. jamaa hajaweka wazi kwenye barua yake aliandika nini, maana inaweza kutumika kama mtego
 
Kwenye barua yangu i just extended my gratefulness. Nilisema iam exiting to be elsewhere. Hiyo "elsewhere" si inaweza kuwa ata kwenda kuwa muuza matunda, i mean anything legitimate for survival
 
kama uliandika baru ya kuacha kazi... hapo umejitengenezea tatizo...😭😭😭huwezi kumlazimisha mwajili akupe barua ya kukuachisha kazi hali ya kuwa uneshaacha wewe mwenyewe kwa maandishi​
 
Nimekupemda bure mkuu, you're never stupid. Hii ni tabia nzur sana kujifunza. Ka.a umeajiriwa hakikisha unassign attendees book
Sure Mkuu...!

HR alidhani na mimi ntakaa nyumbani kusubiri Kuitwa, means zingepita siku 3 ningekua nimejifukuzisha mwenyewe.
 
kama uliandika baru ya kuacha kazi... hapo umejitengenezea tatizo...😭😭😭huwezi kumlazimisha mwajili akupe barua ya kukuachisha kazi hali ya kuwa uneshaacha wewe mwenyewe kwa maandishi​
Hauko sahihi yeye anatoa taarifa ya kuacha iwe ndani ya sqa 24 au notice siku 28, ni waj8bu wa mwajiri kuacknoeledge hiyo request na ampe certificate of service ikieleza sababu za yeye kuacha kazi pamoja na final dues
 
Hauko sahihi yeye anatoa taarifa ya kuacha iwe ndani ya sqa 24 au notice siku 28, ni waj8bu wa mwajiri kuacknoeledge hiyo request na ampe certificate of service ikieleza sababu za yeye kuacha kazi pamoja na final dues
kwa maelezo yake anaomba barua ya kuachishwa kazi ili afatilie mafao yake NSSF...

mwajili anaweza kumpa barua ya kumuachisha kazi lakini reason akaandika amecha mwenyewe 😭😭😭 teyari atakuwa amejiondia kwenye mstari wa kuwa amefukuzwa.

NSSF wanasoma barua za waajiliwa za kufukuzwa kazi na kitakacho fanya apewe pension yake ni reason ya kufukuzwa...

kwa mtu alie jifukuzisha mwenyewe kazi huwa apati mafao.

alicho takiwa kufanya ndugu yetu huyu. ni kufanya utoro wa kazi pengine kwa siku kadhaa kisha anaingia. anafanya utoro tena kisha anaingia hadi pale muajiri atakapo ona sasa it is too much kisha kikao cha nidhamu kiamue kumfukuza.

barua itakayo toka hapo itakuwa ni ya kufukuzwa kazi na kwa sheria za kazi haimruhusu muajiri kuandika kwenye barua ya kuachishwa kazi kuwa amemtimua kwasababu ya utovu wa NIDHAMU.

barua itasema kufukuzwa kazi tu bila kuonyesha sababu. ila akiacha mwenyewe barua itaonyesha kuwa amefukuzwa kutonana na yeye mwenyewe kuomba kuacha kazi.​
 
Hauko sahihi yeye anatoa taarifa ya kuacha iwe ndani ya sqa 24 au notice siku 28, ni waj8bu wa mwajiri kuacknoeledge hiyo request na ampe certificate of service ikieleza sababu za yeye kuacha kazi pamoja na final dues
Nilitoa taarifa ya EXIT ya saa 48. Na nilisisitiza kupata paper kwa ajiri ya nssf. Sikusema NAACHA KAZI in the sense that mkataba ulivunjika alipoacha kunilipa kwa wakati kwa hiyo mimi nilikuwa pale non contractiual my employment wasnt defined then
 
Una kesi kama ya kwangu.Yaani wanahongeka balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…