4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Wakuu jf Mungu amewabariki popote mlipo na ilisha kua labda tu kwa mafisadi tu
Mwaka 2017 aliekua Rais wa JMT alitumbua watumishi wa umma waliokua na vyeti feki katika kada mbalimbali, may be lengo lake ilikua vijana wasio na doa kwenye Elim ,kupata ajira
Ila kwa uchunguzi wangu hawa waliotumbuliwa asilimia kubwa wapo kwenye taasis binafsi hasa watu wa idara ya afya na idara ya elim binafsi ,wenda pia hii inafanya vijana wetu kosa elim japo wapo na sifa,
Kwanini wanapendwa hawa wahujum uchumi kupitia vyeti feki waliotimuliwa katika utumishi wa umma kwenye taasis binafsi
1. Kwanza ni machawa kazini na kujipendekeza maana bila hivyo wakitimuliwa wanaona hakuna maisha nje ya kuajiriwa
2.Hawa hulipwa mshahara kiduchu na sio wasumbufu maana huona wamepata fulsa adhimu sana hata mshahara ukichelewa kwao ni sawa,bora akope kwa Mangi atalipa tu mda ukifika maana anajiuliza akifukuzwa ataenda wapi?
WITO KWA SERIKALI
1.Chunguzeni hili, na kama ni kweli , hawa wapeni mtaji , nafasi zao huko walipo wapewe vijana , wenda pia wakawa wanafanya ulibifu wakijua likitimka nitajitetea kwamba nilisha timuliwa na kwa sasa mie bodaboda(natoa mfano tu)
2 Agizeni taasis binafsi kuacha mara moja ajiri watu hawa na badala yake waajiri watu huru , vijana wapo wengi mtaani
3 Serikali wekeni sheria kwamba taasis binafsi imemwajiri yoyote mwenye tuhuma za ubadhilifu wa vyeti na alisha timuliwa basi huduma zake zifungiwe mara moja
NAWAKILISHA