Nimejiridhisha: Wana-Kagera ni 'nshomile' kweli. Waliyoyaamua dhidi ya Dkt. Magufuli mioyoni mwao ni mazito!

Kwani kuchukua nchi ni hadi uwe bilionea.Nyerere alichukua nchi toka kwa wakoloni kwakuchangiwa na watu kama hao unaowasema.Alafu pia chama chako na serikali yako ndiyo iliyofukarisha wananchi hadi wakose hiyo ela ya mlo mmoja unayoisema.
Nami nimefuatilia nimegundua kuwa kuna nyumbu bado wana changishwa fedha hali ya kuwa wenyewe hata mlo mmoja ni wa kubabaisha na bado wana matumaini yakuchukua nchi kwa kupitia michango yao.
 
Ndiyo huo mwaka ambao songea upinzani haukupata kura hata moja ndiyo unasema, ni mifano ya hovyo sana kila mtu anafahamu kuwa chama cha mbogamboga kimechokwa na kila mtu kimebakia kutumia mbinu za kuengua wagombea wa upinzani na wizi wa kura. Huu mwaka ndo mwisho wa CCM
Yaan ,nimecheka sana.Kweli upinzani huu wa kuungaunga.Wanauwezo wa kuindoa ccm?Cdm yenyewe ya watu binafsi.Pole sana .Ndoto zako bado miaka 800
 
Kama we umeona hafai ,basi wapo wanaona hanafaa.Subiri October 28 ,ndio uone ,kuwa hafai au anafaa.
Najua mtakuwa mmejipanga na tume yenu, polisi wenu, usalama wa taifa wenu, green guard wenu. Unakumbuka ile kauli "nikuteue mimi, nikupe gari na posho halafu umtangaze mpinzani "
 
Nami nimefuatilia nimegundua kuwa kuna nyumbu bado wana changishwa fedha hali ya kuwa wenyewe hata mlo mmoja ni wa kubabaisha na bado wana matumaini yakuchukua nchi kwa kupitia michango yao.
Kwani nchi inachukuliwa na pesa?
 
Najua mtakuwa mmejipanga na tume yenu, polisi wenu, usalama wa taifa wenu, green guard wenu. Unakumbuka ile kauli "nikuteue mimi, nikupe gari na posho halafu umtangaze mpinzani "
Kwa hiyo ww unataka ,Lissu ashinde wakati hana uwezo wa kushinda.Tufanyeje ili huyu Lissu ashinde.?Hata robo ya ushindi hana.Poleni sana
 
Usituletee porojo zako za kijinga - unaleta habari za kuchonga tu hapa - kitu cha kwanza wewe si mzaliwa wa Kagera hata Kihaya ukijui, eti "wana Kagera ni ishomile" - ishomile maanake nini, hakuna neno kama hilo kwenye lugha ya Kihaya.

Umeleta taarifa hizi za ki-Lucifer ukiwa na lengo la kutaka kichonganisha Wahaya na JPM - FYI Wahaya hawana tatizo na Dr.Magufuli uliona mwenyewe mapokezi aliyo pewa alipo wasali Mkoani Kagera - mwenye macho .... tazama, nani ambaye hajui hujuma zenu za chini chini za vyama vya upinzani, mnatoka zenu kasikasini kwenye ngome ya upizani mnafunga safari kufatilia fatalia mikutano ya Kampeini za JPM na kujaribu kuleta labsha zenu za kipumbavu na uchonganishi - wana Kagera wanajua michango ya tetemeko la aridhi zilitumika vipi katika kutuletea maendeleo ya kweli Mkoani na yanaonekana dhahili. Punguzeni ngojera zenu.
Kwa hivyo umeona utete ujinga kwa sababu hao wananchi wanaenda kuishi katika hayo majengo ya shule yaliyojengwa na rambirambi za tetemeko? Unadhani wana kagera tunashida sana na madarasa?
Tumia akili unapojibu mada si kuegemea upande mmoja,haya basi sisi wanakagera tupelekeni tukaishi kwenye hizo shule mlizojenga [emoji2955][emoji2955][emoji2955]
 
Niko ndani ya mkoa wa Kagera kwa siku tatu sasa. Nimekuwa katika tafiti 'fit' za kikampeni. Nimefuatilia pia mikutano yote ya kampeni ya mgombea wetu wa Urais wa CCM Dkt. John Pombe Magufuli Nimeingia na 'site' mbalimbali hapa Kagera. Wana-Kagera nimewakubali. Wamenidhihirishia kuwa wao wamesoma kwelikweli, yaani, 'ishomile'. Mioyoni mwao wamepanga hili, hadharani wanaonesha lile.

Wamechukua tahadhari baada ya mikwara ya kutopata maendeleo endapo hawatawachagua wagombea wa CCM uchaguzini. wameamua kuwa 'wasanii' kwa muda ili wamuoneshe Dkt. Magufuli kuwa wako naye; wanampenda; wanamuunga mkono na wanamwamini. Ndani ya mioyo yao, mambo ni tofauti. Na watu hutema nyongo zao sirini. Katika harakati zetu za kiintelijensia ya kisiasa, tumeongea na wananchi wengi.

Wana-Kagera bado wana maumivu juu ya kilichotokea wakati wa tetemeko la ardhi na madhila waliyoyapata. Kubwa zaidi, ni namna suala hilo lilivyoshughulikiwa. Rambirambi zikayeyuka; makazi wakaachiwa wenyewe wayatengeneze; majeruhi wakajitibu kwa tabu wenyewe na kadhalika. Bado, maneno makali ya Dkt. Magufuli kwa wahanga wa tetemeko yanaendelea kuchoma na kufukuta ndani ya mioyo yao. Wamepanga kuonesha tarehe 28 Oktoba kwenye sanduku la kura.

Uwepo wangu hapa Kagera umenionesha mengi yaliyofichwa na Wana-Kagera tayari kutolewa kupitia sanduku la kura Oktoba 28. 'Ishomile' hawa wa Kagera wametudokeza kwa kutuuliza: inakuwaje Mpambanaji wa rushwa kama Dkt. Magufuli 'akatae kustaafu' kwa Prof. Tibaijuka ambaye alikuwa kwenye kashfa ya ufisadi wa mabilioni ya Escrow? wana-Kagera wamejilinda kwa kutoonesha hasira zao kwa mgombea wetu. Lakini, watautuma ujumbe siku ya kura.

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Kagera, Tanzania)
Wala si ajabu kwa wana Kagera kufanya hivyo. 2010 JK alipata kura chache sana kiasi cha kuilazimu tume ya Lubuva kubadili gia angani , wakaacha kutangaza matokeo ya kura za urais ngazi zote isipokuwa makao makuu ya tume.
 
Niko ndani ya mkoa wa Kagera kwa siku tatu sasa. Nimekuwa katika tafiti 'fit' za kikampeni. Nimefuatilia pia mikutano yote ya kampeni ya mgombea wetu wa Urais wa CCM Dkt. John Pombe Magufuli Nimeingia na 'site' mbalimbali hapa Kagera. Wana-Kagera nimewakubali. Wamenidhihirishia kuwa wao wamesoma kwelikweli, yaani, 'ishomile'. Mioyoni mwao wamepanga hili, hadharani wanaonesha lile.

Wamechukua tahadhari baada ya mikwara ya kutopata maendeleo endapo hawatawachagua wagombea wa CCM uchaguzini. wameamua kuwa 'wasanii' kwa muda ili wamuoneshe Dkt. Magufuli kuwa wako naye; wanampenda; wanamuunga mkono na wanamwamini. Ndani ya mioyo yao, mambo ni tofauti. Na watu hutema nyongo zao sirini. Katika harakati zetu za kiintelijensia ya kisiasa, tumeongea na wananchi wengi.

Wana-Kagera bado wana maumivu juu ya kilichotokea wakati wa tetemeko la ardhi na madhila waliyoyapata. Kubwa zaidi, ni namna suala hilo lilivyoshughulikiwa. Rambirambi zikayeyuka; makazi wakaachiwa wenyewe wayatengeneze; majeruhi wakajitibu kwa tabu wenyewe na kadhalika. Bado, maneno makali ya Dkt. Magufuli kwa wahanga wa tetemeko yanaendelea kuchoma na kufukuta ndani ya mioyo yao. Wamepanga kuonesha tarehe 28 Oktoba kwenye sanduku la kura.

Uwepo wangu hapa Kagera umenionesha mengi yaliyofichwa na Wana-Kagera tayari kutolewa kupitia sanduku la kura Oktoba 28. 'Ishomile' hawa wa Kagera wametudokeza kwa kutuuliza: inakuwaje Mpambanaji wa rushwa kama Dkt. Magufuli 'akatae kustaafu' kwa Prof. Tibaijuka ambaye alikuwa kwenye kashfa ya ufisadi wa mabilioni ya Escrow? wana-Kagera wamejilinda kwa kutoonesha hasira zao kwa mgombea wetu. Lakini, watautuma ujumbe siku ya kura.

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Kagera, Tanzania)
Huko ufipa bado tu mnajipa matumaini na kujiita tupatupa?
 
Kwa hiyo ww unataka ,Lissu ashinde wakati hana uwezo wa kushinda.Tufanyeje ili huyu Lissu ashinde.?Hata robo ya ushindi hana.Poleni sana
Najua kwa ramli chonganishia pamoja na vyombo vya dola vya CCM hawezi kupata hata robo ya ushindi, na ndio maana ndani ya corridors of power za Lumumba hawataki kusikia tume huru isiyoweza kuwaengua mamia kama siyo maelfu ya wagombea wa upinzani
 
Katibu mkuu wa CCM nilimuokota kemondo alikuwa anauza ndizi, process ana amestahafu Ila kwangu mimi ajihesabu hajastahafu serikalini Kuna nafasi nyingi sana siwezi kukubali profesa mzima Tena Dada yangu hastahafu, Masilingi aliyekuwa mbunge wenu kabla ya profesa nilimteua kuwa balozi Marekani.

Kuna huyu alikuwa diwani wenu muleba anaitwa milanga alikuwa upinzani akaamia CCM Sasa hivi nimemteuwa kuwa katibu wa CCM uko kigoma. Alafu kuna graduate na akili zake timamu anasema Magufuli mitano Tena. Yani Kuna watu sijui ubongo wao una virus basi tu.
Magufuli 15 tena na huo ndiyo uhalisia .
 
Hata kama hajaweka statistics, hivi kwa akili yako kuna mtu mwenye akili timamu anaweza akampa kura magufuli? Alifanikiwa kuwa rais wetu 2015 kwa bahati mbaya,we now know him, hatufai
Mama yako ana akili timamu lakini atampa kura Magufuli.
 
Nami nimefuatilia nimegundua kuwa kuna nyumbu bado wana changishwa fedha hali ya kuwa wenyewe hata mlo mmoja ni wa kubabaisha na bado wana matumaini yakuchukua nchi kwa kupitia michango yao.
Hawana uhakika hata wa mlo mmoja kwasabb ya Magufuli. Ndiyo maana wanachanga ili 28/10/2020 aondoke mazima waanze kula milo 3. Kumchagua Magufuli ni kuchagua kifo.
 
Mkuu si heri huyu anayewachangisha watu kwa hiari yao,yaani unaweza ukatoa au akaacha,Magu anakuchangisha kwa nguvu,yaani anakupa kesi ya uhujumu uchumi,unanyimwa dhamana kisha DPP anakuja kukuchangisha kwa lazima ili utoke gerezani.Rugemalira aliyegoma kutoa mchango unajua yupo wapi hadi sasa?
Kama hajakuelewa basi jua huyu siyo mtu, bali ni robot wanaliprogram palee Lumumba
 
Rugemalila huwezi kumfananisha na mwenzangu na mimi anaeungaunga kutafuta nauli ya kuja kwenye mkutano halafu nauli yake inachukuliwa anarudi nyumbani na mguu. Ni tofauti mkuu
Kweli wewe umechanganyikiwa, hivi umesikia kuna yeyote ambaye amerudi kwa miguu kutoka mkutanoni? Hii itakuwa bangi ya kijani ya Lumumba
 
Uongo utakusaidia nini kwahiyo umezunguka mkoa mzima kutengeneza hizo statics za uongo,
Naona unaota ndoto za mchana kutusemea sisi wanabukoba
 
Niko ndani ya mkoa wa Kagera kwa siku tatu sasa. Nimekuwa katika tafiti 'fit' za kikampeni. Nimefuatilia pia mikutano yote ya kampeni ya mgombea wetu wa Urais wa CCM Dkt. John Pombe Magufuli Nimeingia na 'site' mbalimbali hapa Kagera. Wana-Kagera nimewakubali. Wamenidhihirishia kuwa wao wamesoma kwelikweli, yaani, 'ishomile'. Mioyoni mwao wamepanga hili, hadharani wanaonesha lile.

Wamechukua tahadhari baada ya mikwara ya kutopata maendeleo endapo hawatawachagua wagombea wa CCM uchaguzini. wameamua kuwa 'wasanii' kwa muda ili wamuoneshe Dkt. Magufuli kuwa wako naye; wanampenda; wanamuunga mkono na wanamwamini. Ndani ya mioyo yao, mambo ni tofauti. Na watu hutema nyongo zao sirini. Katika harakati zetu za kiintelijensia ya kisiasa, tumeongea na wananchi wengi.

Wana-Kagera bado wana maumivu juu ya kilichotokea wakati wa tetemeko la ardhi na madhila waliyoyapata. Kubwa zaidi, ni namna suala hilo lilivyoshughulikiwa. Rambirambi zikayeyuka; makazi wakaachiwa wenyewe wayatengeneze; majeruhi wakajitibu kwa tabu wenyewe na kadhalika. Bado, maneno makali ya Dkt. Magufuli kwa wahanga wa tetemeko yanaendelea kuchoma na kufukuta ndani ya mioyo yao. Wamepanga kuonesha tarehe 28 Oktoba kwenye sanduku la kura.

Uwepo wangu hapa Kagera umenionesha mengi yaliyofichwa na Wana-Kagera tayari kutolewa kupitia sanduku la kura Oktoba 28. 'Ishomile' hawa wa Kagera wametudokeza kwa kutuuliza: inakuwaje Mpambanaji wa rushwa kama Dkt. Magufuli 'akatae kustaafu' kwa Prof. Tibaijuka ambaye alikuwa kwenye kashfa ya ufisadi wa mabilioni ya Escrow? wana-Kagera wamejilinda kwa kutoonesha hasira zao kwa mgombea wetu. Lakini, watautuma ujumbe siku ya kura.

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Kagera, Tanzania)
Tupatupa maona ulishatupwa tupwa sasa umekuwa mtafiti wa kampeni, ila nadhani wnakwambia pia hivyo kwa sababu ulishatipwa.
 
Back
Top Bottom