Nimejisikia kuomba msamaha kwa kila niliyemkwaza humu JamiiForums

Nimeuona uzi huu alfajiri hii

Unapokutana na bandiko kama hili na maneno ya busara kama haya asubuhi kama hivi ujue siku imeanza vizuri sana, kwa kheri na baraka

Hongera Raynavero upo kwenye njia sahihi kabisa...sio ya wale waliopotea njia wala walioghadhabikiwa na Mola

Ni wenye akili tu ndio hua na uthubutu kama huu

Nakuunga mkono
 
Ameen
Kaka barikiwq na wewe
 
Umefanya vema sana kuomba msamaha kabla ya ile party yetu pendwa. Kitu muhimu iwe kweli umedhamiria kuomba msamaha na si kupretend. Samahani, Pole,Asante,Nashukuru ni maneno ya kawaida sana lakini yana impact kubwa sana kwa maisha ya kila siku ya binadamu. keep it up madame.
Wee umemsamehe?
 
Back
Top Bottom