Nimejisikia kuomba msamaha kwa kila niliyemkwaza humu JamiiForums

Nimeuona uzi huu alfajiri hii

Unapokutana na bandiko kama hili na maneno ya busara kama haya asubuhi kama hivi ujue siku imeanza vizuri sana, kwa kheri na baraka

Hongera Raynavero upo kwenye njia sahihi kabisa...sio ya wale waliopotea njia wala walioghadhabikiwa na Mola

Ni wenye akili tu ndio hua na uthubutu kama huu

Nakuunga mkono
 
Ameen
Kaka barikiwq na wewe
 
Wee umemsamehe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…