Nimejisikia kuomba msamaha kwa kila niliyemkwaza humu JamiiForums

Kuomba MSAMAHA si unyonge bali ni dalili za unyenyekevu, kujali na hekima.... Umejiongezea kitu kikubwa na muhimu mno katika maisha yako... Umethamini utu na hisia za wengine kabla ya zako... Umewatanguliza wengine mbele.... Utabarikiwa kwa hili
 
Ameen!!kaka...barikiwa sanaa!!kwa maneno yako mazurii!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…