Nimejisikia kuomba msamaha kwa kila niliyemkwaza humu JamiiForums

Nimejisikia kuomba msamaha kwa kila niliyemkwaza humu JamiiForums

Ngoja nichunguze mafaili kama ulishanikosea kisha nifikirie kama nitakusamehe.

bbade anajifanya mgumu hataki kuniomba msamaha kila akinikosea...... Nawe anzisha uzi kabla sijakushatki kwa mod
Hahaaa!!wewe hapana kaka angalia tuu!kwanza nakuheshimu mpk baasi
 
Umefanya vema sana kuomba msamaha kabla ya ile party yetu pendwa. Kitu muhimu iwe kweli umedhamiria kuomba msamaha na si kupretend. Samahani, Pole,Asante,Nashukuru ni maneno ya kawaida sana lakini yana impact kubwa sana kwa maisha ya kila siku ya binadamu. keep it up madame.
Hapana sijapretend nilitamani muda kweli niandike hivi...maisha mafupi haya kaka angu nobody knows tomorrow!!!

Yaani nilivyo ndivyo hviii!!
 
Baada ya kuomba msamaha huu,utaendelea kua member wa jf? kama utaendelea basi chance ya kuwakosea tena member wa humu bado ni kubwa,au utakua kila baada ya muda fulani unaanzisha thd ya kuomba msamaha?
Hapana sitaanzisha thread chokozi tena na fikirishi na lengo hata ikitokea mmekosea basi wajue ni maandishi tu mmeteleza havihusiani na wao...!!

Mimi binadamu kukosea lazimaa...kuomba radhi pia inatupasaa!!!
 
Back
Top Bottom