Nimejisikia kuomba msamaha kwa kila niliyemkwaza humu JamiiForums

Nimejisikia kuomba msamaha kwa kila niliyemkwaza humu JamiiForums

[emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huwezi jua kwenye kuandika!!kuna mtu siku moja alinambia namkwaza na mwandiko wangu,mwingine nae hvyo hvyo..!!kumbe haya maandishi tu..wengine tunakwaza kumbee
Hao ndio wanakwanza...

Kwani lazima akusome?
 
Kumbe kwenye maandishi tu?
Pole sana.
Maandishi Mengi hayabebi uhalisia wa mtu.
 
Afadhali.... Tuendelee kuheshimiana...tusije vuana nguo watu wazima.
Hahaaa....[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]sawa bwana daby
 
Hao ndio wanakwanza...

Kwani lazima akusome?
Hahaaaahaaa[emoji3][emoji3][emoji23][emoji16][emoji16]!!binadamu tunatofautiana kaka!!Mimi kila kitu nachukulia simple mnooo..kumbe wengine wana take serious mwisho mwatukanana sasa!!au wamkera mtuuu
 
Bina hujafanya vizuri kutotaja hao washkaji zako wa kiume teh

Bana bina sisi hatujawahi kukwaruzana na hata tukikwaruzana (God forbid); nafikiri mkwaruzo utaomba msamaha automatically na mambo yataendelea. So peace reigns, na uendelee tu kuwa that "strong lady". Unajua venye nakuaminia
 
Bina hujafanya vizuri kutotaja hao washkaji zako wa kiume teh

Bana bina sisi hatujawahi kukwaruzana na hata tukikwaruzana nafikiri mkwaruzo utaomba msamaha automatically na mambo yataendelea. So peace reigns, na uendelee tu kuwa that "strong lady". Unajua venye nakuaminia
Mpwa nawe unataka uwajue hao washakaji wa kiume?

Umeanza lini?
 
Back
Top Bottom