Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
Wewe Kipipi tangu lini ukawa kondoo mtiifu? Kukukabidhi wewe kuongoza maombi ni sawa na kumkabidhi fisi alinde mifupa, sikubali asilani!
hasa Kipipi ndo anaongoza kwa kupanga infii,nasikia x mass ana mpango wa kwenda mombasa na mme wa mtu,lol!
Ukikua utaelewa kajukuu kangu!!!
Babu DC!!
ningesema kitu lakini chiichemi!
'the way i shout', yaani ninavyopiga kelele,du,that sounds veeeeeeere romantic!
Najaribu kufikiri ni msaada gani nimpe. MAANA. Pia nawaza anakula protein za aina gani kuweza kuhudumia majority women ile inshu?
Babu ushaur na saha unahtajika.
wala sio hivyo Koku,wazee kama sisi wala hatutumiki kihivyo,all we do kila jumamosi ni kufanya kaziara ka kupita kwenye makoloni kwa minajili ya kuacha pesa ya kikapu.Hayo mengine ni mara moja moja tu,tunaona raha tu kuwa na ka harlem,ndo uanaume huo.
omushaija lubingo otigala nilumela!
Babu jamani!
Kwani huwezi kumuelewesha mjukuu wako?? huoni kama unamnyima kitu???
Ndo kaka yako huyo Kokutona???
:lol::lol::lol::lol:
Ndo kaka tena huyo Kipipi, ntafanyaje. Siwezi kumkana iwe iweje
Wababu na wabibi wana uzoefu sana wa kujibu maswali ya wajuu....Ndiyo maana huwa hawakurupuki kama mama na baba zao!!
Hukawii kupata maswali ya surprise...Babu hajajiandaa kwa surprise aisee !!
Hukusikia mtoto aliyemuuliza mama yake kwamba kama watoto wanapatika kwa baba kuingiza kale la mtaji wake kwenye hazina ya mama, na kwamba je juzi alivyomstukiza baba kaingiza mdomoni alikuwa anatafuta nini???
Hapo babu hakawii kuchafua hali ya hewa kwa kudai kuwa alitaka bibi atapike mfupa uliokuwa umemkwama kooni...!!
Hawa wajukuu twawajue wenyewe...waache wakishakua watashangaa majibu yana-flow yenyewe!!
Ndo kaka tena huyo Kipipi, ntafanyaje. Siwezi kumkana iwe iweje
Daah!!!
We babu wewe.....
Yaani ndo unazidi kunicomfyuzi kabisaaaaa!!
Kaka, kaka.
nashobyaki bojo?
Enjoy,remember Jesus is the reason for the season.
Niache kufurahia na familia yangu eti niende kuokota janaume la mtu..........???
khaaa!!!!
ahsante kwa waraka maridhawa.
Ila mkuu kwenye ishu ya infii i beg to differ,infii ina starehe yake bana!ile excitement ya woga wa kukamatwa,ni mzuka tu aisee,pure exihilation,mi siachi infiii,lol!
Yaliyobaki swadakta nakubaliana nayo.
cheating ingekuwa movie mimi ningekuwa
tom cruise,ingekuwa golf ningekuwa tiger woods na ingekuwa kabumbu ningekuwa Ryan Giggs!