Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
Wewe Kipipi tangu lini ukawa kondoo mtiifu? Kukukabidhi wewe kuongoza maombi ni sawa na kumkabidhi fisi alinde mifupa, sikubali asilani!
Niamini mimi mkuu wala usimsikilize Bishanga, angekuwepo mama mchungaji angeshuhudia mwenyewe!