Nimejisikia kuwaandikia waraka huu ...

Nimejisikia kuwaandikia waraka huu ...

Wewe Kipipi tangu lini ukawa kondoo mtiifu? Kukukabidhi wewe kuongoza maombi ni sawa na kumkabidhi fisi alinde mifupa, sikubali asilani!

Niamini mimi mkuu wala usimsikilize Bishanga, angekuwepo mama mchungaji angeshuhudia mwenyewe!
 
Najaribu kufikiri ni msaada gani nimpe. MAANA. Pia nawaza anakula protein za aina gani kuweza kuhudumia majority women ile inshu?
Babu ushaur na saha unahtajika.

Unajua theory ya footballers??

Ndo maana hawapendi kukaa bench muda mrefu!!
 
wala sio hivyo Koku,wazee kama sisi wala hatutumiki kihivyo,all we do kila jumamosi ni kufanya kaziara ka kupita kwenye makoloni kwa minajili ya kuacha pesa ya kikapu.Hayo mengine ni mara moja moja tu,tunaona raha tu kuwa na ka harlem,ndo uanaume huo.
omushaija lubingo otigala nilumela!

Wewe ni kiboko Bishanga,

Hapo ndio kusemaje kwa kithungu chetu cha Msonga kwa Wakwere???

Babu DC!!
 
Babu jamani!
Kwani huwezi kumuelewesha mjukuu wako?? huoni kama unamnyima kitu???

Wababu na wabibi wana uzoefu sana wa kujibu maswali ya wajuu....Ndiyo maana huwa hawakurupuki kama mama na baba zao!!

Hukawii kupata maswali ya surprise...Babu hajajiandaa kwa surprise aisee !!

Hukusikia mtoto aliyemuuliza mama yake kwamba kama watoto wanapatika kwa baba kuingiza kale la mtaji wake kwenye hazina ya mama, na kwamba je juzi alivyomstukiza baba kaingiza mdomoni alikuwa anatafuta nini???

Hapo babu hakawii kuchafua hali ya hewa kwa kudai kuwa alitaka bibi atapike mfupa uliokuwa umemkwama kooni...!!

Hawa wajukuu twawajue wenyewe...waache wakishakua watashangaa majibu yana-flow yenyewe!!
 
Daah!!!
We babu wewe.....
Yaani ndo unazidi kunicomfyuzi kabisaaaaa!!
 
Daah!!!
We babu wewe.....
Yaani ndo unazidi kunicomfyuzi kabisaaaaa!!

Baada ya kukofyuzi ndio somo litapanda vizuri,

Babu hatoi samaki bali anakupatia chambo ukawakamate mwenyewe....

Usiwe na hofu...uko mikononi mwa babu...hata Bishanga hakaribii kwa babu!!

Babu DC!!
 
Enjoy,remember Jesus is the reason for the season.

+vR5M4AERgRDxYPERgRCA8IERgRFx4XBw4HDBMMLDMsLjUuS1JLGSAZHiUeExoTGyIbFB4VKTcmLDsoP047MT4tN0M1PUc8GSMaGyIaGR4YGRsYICIhEhISDAwOEhAVBgQJCAYLCAQFGBMQHxcVFQoIEAEAFwMCIAgIIAgIGQEBGwUHFAEDRjc6e3B0NzE1MC4zISInCBIUAA0QCRgdHCsyLTtGFiQxJTVEIzNDFCU3FSY4FSc7ITNHOUxdTWBxU2Z1U2h7Rl54Pll3HjpfIT5oLEt5JENyKkl3M1N5JENgYoGVOlVgnbW5ssbH0+PiydXTZnhsMU4yO106LUwsYYBgjaqLR2RGdY9yTWZJZn1jOlA5fI95fI971OXSytvIkpQnKOpmLEAAAAAASUVORK5CYII=

Nimeipenda avatar yako....
 
ahsante kwa waraka maridhawa.
Ila mkuu kwenye ishu ya infii i beg to differ,infii ina starehe yake bana!ile excitement ya woga wa kukamatwa,ni mzuka tu aisee,pure exihilation,mi siachi infiii,lol!
Yaliyobaki swadakta nakubaliana nayo.

wewe si huna bibi wewe? Unajiinfii thebulen kwa soap then ile ecxitment kuwa kids watakubamba ndo una naniliuh? Hahaha! Mwaka uishe thalama huu
 
cheating ingekuwa movie mimi ningekuwa
tom cruise,ingekuwa golf ningekuwa tiger woods na ingekuwa kabumbu ningekuwa Ryan Giggs!

what a quote of shuting ze year! Naomba niifyonze naipeleka FB sa hv
 
Back
Top Bottom