mzeewangese
JF-Expert Member
- Feb 11, 2016
- 645
- 503
Jf imetulia sana nami nilifanya uamuzi huo kuanzia december mwaka janaKama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo nimejitoa mitandao yote nimebakiza Jamii forum tu.
Sababu zilizopelekea ni sababu za kimaadili , kiukweli kwenye hii mitandao ya kijamii hamna lengine la maana zaidi ya mind programming za mzungu na ustarabu wa magharibi tu.
Picha za matusi ndio usiulize huwezi fungua page ya instagram bila picha za ovyo mambo ya ovyo ovyo.
Nimetathimini nimeona faida ni chache zaidi kuliko hasara, kwanza kwa kipindi chenyewe hiki ukienda ovyo unaweza ukajikuta upo nyuma ya nondo kwa ajili tu keyboards zako.
My only hope kwa sasa katika kujipatia habari za kidunia kwa maadili yanayoendana na ustaarabu wangu ni Jamii forum tu..
Nawakilisha.
Nenda pale kweny FAQ andika "how to parmanent delete my account" watakupa options mbili either to deactivate or delete chagua delete but utasubiri 14 days ili account yako ifutwe kabisa so hizo siku 14 zote account yako itakuwa temporary deactivated in case you change your mind,na baada ya hizo siku 14 itakuwa ni parmanent.Mkuu nielekezee kufuta account ya Facebook.Nipo serious kwa hili mkuu.Maana ninavyooona kwenye Facebook siwezi vumilia
Ahsante mkuuNenda pale kweny FAQ andika "how to parmanent delete my account" watakupa options mbili either to deactivate or delete chagua delete but utasubiri 14 days ili account yako ifutwe kabisa so hizo siku 14 zote account yako itakuwa temporary deactivated in case you change your mind,na baada ya hizo siku 14 itakuwa ni parmanent.
Kweli kabisaKimsingi hakuna kama Twitter na JF
Yaani me too!Duh watu tunatofautiana aisee ,mimi haipiti siku bila kuingia IG
Uncle wewe jukwaa la macelebs ndio unalopendelea so insta muhimu sana kwakoDuh watu tunatofautiana aisee ,mimi haipiti siku bila kuingia IG
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Uncle wewe jukwaa la macelebs ndio unalopendelea so insta muhimu sana kwako
Na fruit mwenyewe anapatikana sana kule
Nimeshakuona sana InstaDuh watu tunatofautiana aisee ,mimi haipiti siku bila kuingia IG