Nimejitolea kuchangia damu waandamanaji wa kesho. Nani ananiunga mkono?

sonofobia

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
1,171
Reaction score
4,295
Wanasema kutoa ni moyo na kama wanadamu tunatakiwa kusaidiana wakati wa majanga.
Kesho chadema wanaingia kufanya maandamano bila ya kuwa na kibali licha ya katazo ya jeshi la polisi hapa kuna kila dalili ya watu kupata ulemavu wa kudumu, kuvuja damu nyingi sana hivyo kwa uungwana niliokuwa nao nimejitolea kuchangia damu waandamanaji na ninaomba anaeguswa na uhitaji wa wa damu 23 September tuwasiliane tuone namna ya kufikisha damu kwa wahanga.

 
Sidhani kama kisheria inaruhusiwa kupiga watu,mi mwenyewe nitakuwepo kwaajili ya kuangalia mwenendo wa maandamano.
 
Sidhani kama kisheria inaruhusiwa kupiga watu,mi mwenyewe nitakuwepo kwaajili ya kuangalia mwenendo wa maandamano.
Watu waliopigwa marufuku kuandamana maana yake wana nia ovu kwa hiyo kuna kila dalili kuna watu hawatorudi majumbani salama watavuja damu
 
Hamna waandamanaji wagonjwa,akiwepo utamchangia anapotibiwa.Bora uchangie kwenye vituo vya kuchangia damu,vinaitwa vituo vya damu salama.
 
#HAKUNA ATAKAE ANDAMANA KESHO# ili maandamano yafanikiwe yabebe hoja za Watanzania na sio chama,, yawe ya Watanzania na sio ya chama..
 
Reactions: Tsh
Kwahiyo ule wimbo wa watanzania ni waoga umeishia wapi au ndio unasubiri na haya maandamano watu wasipotokea ndio turudie tena wimbo wa watanzania waoga?
 
ujinga mtupu polisi wajekuwapiga risasi watanzania wanaoandamana kwa amani
 
Mpuuzi mwenzako ndio atakuunga mkono
 
Watu waliopigwa marufuku kuandamana maana yake wana nia ovu kwa hiyo kuna kila dalili kuna watu hawatorudi majumbani salama watavuja damu
Wanapiga marufuku maandamano ya amani ndio wenye nia ovu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…